kuchokonoa chokonoa pua mbele ya watu..af akimaliza anakupa mkono huo huo msalimiane au muagane
yaani,mie nakerekaga jamani........
6. people who can't keep time.
mf. anakualika sherehe/miadi saa 3pm lakini mnaanza 6pm. its fking annoying bora aseme kwamba tutachelewa kuliko kunipotezea 2-3hrs doing nothing
Kuna wale wenye tabia ya kuweka music/radio loudspeaker alafu anaingia kwenye gari ama mkusanyiko wa watu, very comfortable, sielewi huwa wana maana gani, kujulisha watu kuwa wanamiliki simu zenye memory card/radio ama hawafahamu matumizi ya hearphones.:help::help::help::bored::bored::bored:
is that why unaitwa watu eight?? msisahau helmetPicha nyingine hiyo hapo best....tupo 8
A good question.....! Mhala ahena?Oops!
Hivi umefanya research na kugundua kuwa ni Watanzania pekee wenye tabia hizi?
kwi kwi kwi umenikumbusha juzi 2 nilikaa na m2 kutoka kibaha hadi ubungo yaani hadi nilichefuka anajidai kila kituo anakifahamu na kutaka kutueleza historia ya kila kituo yaani watu wote wamenyamaza ye anaongea huyo utasema analipwa.Hizo tabia mwenyewe czipendi,hasa hyonumber mbili jaman,yanî mtu daladala nzîma anasikika yeye ampaka anashuka ktk dalaadala umejua mambo meng kuhusu yeye
W
Oops!
Hivi umefanya research na kugundua kuwa ni Watanzania pekee wenye tabia hizi?
yuck. nahisi kichefuchefu, is this true??