Hahaha! Watoto wanasumbua sana huwa najaribu kuwaignore siwaangalii usoni lakini wapi[emoji28][emoji28][emoji28] ndio kwanza wanaanza kunivuta masikio. Wakiambiwa "muache anko" wanaanza kulia[emoji23][emoji23]Bila kusahau wale kina mama wanaosafiri na watoto wawili huku wamekata seat moja
Nilishawahi kujikuta dada msaidizi wa mtoto mwanzo hadi mwisho wa safari,yaaani kale kadogo nimekashikilia mimi,kale kengine kadada mtu kameshikwa na mama yake
Mbaya zaidi kale katoto kalinipenda na kunizoea mapema sana,kila muda dada hivi dada vile mara kanilishe vitu kanavyopewa na mama yake
Sio kwa ubaya,lakini ni usumbufu...kama una watoto wadogo wawili jitahidi kuweka seat mbili aseee
Siku hizi namuagiza anayenikatia ticket ahakikishe nakaa na mkaka
Mzee umetishaMtu anapanga safari kabisa halafu hafanyi maandalizi ya vitu atatumia njiani.
Vitu kama waya wa chaji, powerbank, earphones, tissues, dawa ya maumivu ya kichwa na ya kuzuia tumbo kuchafukwa. Sweater, au shuka ya kimasai, pocket money ni baadhi ya vitu vya kubeba....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha! Watoto wanasumbua sana huwa najaribu kuwaignore siwaangalii usoni lakini wapi[emoji28][emoji28][emoji28] ndio kwanza wanaanza kunivuta masikio. Wakiambiwa "muache anko" wanaanza kulia[emoji23][emoji23]
Watoto huwa wananidominate sana.
Hapo bado hawajatema mate pale pale walipokaa.Wamasai sasa, huko kwao Umasaini, balaa tupu. Wanapanda na fimbo zao kwenye basi, na yale mashuka yao yakiwa yananukia harufu nzuri ya ng'ombe au mbuzi. Mbona utatamani ushukie njiani kabla hujafika mwisho wa safari!
Vipi lakini ushapanda basi limejaa wamasai? Utajutaa.
Wacha bana kipindi hiyo mtera huko kuna wamasai mvumi pale wakadandia King Kross au Urafiki,ilikua tabu njia nzima,makelele,huku wamejipaka mafuta ya samli,wanatafuna ugoro njia nzima wanasukutua na miswaki ya miti basi nalo bovu basi njia yote linapigwa spana hao jamaa wanakunya wanajifuta na gunzi aisee nilikoma
Let's meet at the top, cheers 🍻
huwa tunawapa short course before safari, asikuchangamkie umuweke koridoni.Mbaya zaidi kale katoto kalinipenda na kunizoea mapema sana,
Karanga, Mayai, Ndizi, Parachichi, Chips Halafu Coca Cola BaridiUmesahau wale wanaonunua mayai, wanayamenya alafu wanakula.
Ile shombo ya mayai ni noma sana.
Ikibidi, punguzeni tabia ya kula kula hovyo.
MIC vipi una rap nayo au?Nina kinyaa ambacho sio cha hii dunia
Sikula chochote
Pia unakuta yeye wakati ni mdogo mama yake aliwahi kusafiri nae akiwa na mdogo wake na akabebwa na abiria wa jirani, Mimi sijawahi kuwanyanyasa kabisa wa mama wenye watoto na mizigo mana ndio nature ya mama zetu, Naweza kukoromeana na Age mates au Mwanaume mwenzangu ila sio wamama kabisamaisha hayapo sawa, mshukuru.mungu kwa kidogo alichokujalia, hata yeye angependa watoto wake wakae kila mtoto na siti yake lakini ameshindwa. msiwaseme vibaya
Sent from my MI NOTE Pro using JamiiForums mobile app
JF kila mtu ni yupo positive tu hahahaHao watu hawapo jf
Msiwasahau na ndugu zetu wasambaa wana kelele sana safarini utaskia akisema kwa sauti “we deeva ongeza kasi”