Mmasai ule sio ushamba ni wako rigid, hata kwa mavazi wanatajirika sana lakini kuvaa mashuka hawaachiMsukuma vs Mmasai ni sawa na Abdalah vs Dulla au Moses vs Musa ndio wale wale tu kwa ushamba hawatofautiani [emoji28][emoji28]
Let's meet at the top, cheers [emoji482]
Mmasai ule sio ushamba ni wako rigid, hata kwa mavazi wanatajirika sana lakini kuvaa mashuka hawaachi
Kwa Wasukuma ule ni USHAMBA, hata aende wapi ushamba upo palepale
[emoji23][emoji23][emoji23]hii imenikumbusha kuna siku tulikuwa njia ya mbeya- songwe hapo kati wakapanda hao wasukuma na magwanda yao kama wamasai.Dar to mwanza, picha linaanza pale ubungo zinaingia familia tatu za ndugu zangu wasukuma (watu kama nane wakiwa na watoto wadogo).
Hawakukaa pamoja, wengine walikaa nyuma kabisa, wengine katikati. Kazi inaanza akina ngosha walipoamua kupiga story kwa lugha yao, yani jamaa yuko siti ya nyuma kabisa ila anapiga story na ngosha mwenzie aliekaa siti ya kati.
Balaa zaidi ni pale walipoanza kupasiana vikombe vya maji (walibeba maji ya kunywa kwenye ndoo ndogo ya lita kumi). Kikombe kinapasiwa toka nyuma kule mpaka kinamfikia mlengwa kule katikati.
Mara watoto wakaanza kuzurula ndani ya bus, toka nyuma kuja kati endivaisi vesa bila kusahau vilio vya hapa na pale. Kuna wakati nikahisi labda niko kwenye darasa la chekechea, kumbe niko kwenye bus asee!
Kusema kweli Mwanza nilifika, ila cha moto nilikiona.
Safari ya kurudi dar, najikuta nimekaa jirani na mbibi msumbufu. Anyway, hiyo ni story nyingine!
[emoji23][emoji23]mkuu bila shaka ni mtani wa wanyaki?Waha, Wasukuma, Wamasai na Wanyakyusa haya makabila ni wasumbufu sana safarini.
Waha ubishi ubishi, Wasukuma kula kula, Wamasai mafuta yao wanatopakaa na kuongea na simu kwa sauti, Wanawake wa kinyakyusa wanajamba sana akigeuka kajamba.
Pia siku ya kujifungua hio pafyum balaaa wewe acha hizo jitambue mtoto wa kikeNajijua mie ni mshamba
kama we ni mtoto wa kiume na una kinyaa basi una walakini kwenye uanaume wako...Mi nilikuwa na kinyaa utotoni, kinyaa kilifanya nisome PCM badala PCB licha ya kuwa nilikuwa nachechemea kwenye hisabati ikilinganiswa na Bios. Ila sasa kimepungua baada ya interaction na watu wenye makuzi tofauti tofauti.
Nimejikuta nacheka tu, kwani kinyaa ni nini?kama we ni mtoto wa kiume na una kinyaa basi una walakini kwenye uanaume wako...
Kilichopungua ni nini? Mwambie akurudishie asap ili kuepusha usumbufu wakati wa matumizi.Hapana havijakamilika
Viungo vyangu vingine vya 'jinsia' ya kike unavyo wewe
[emoji23][emoji23][emoji23]Kilichopungua ni nini? Mwambie akurudishie asap ili kuepusha usumbufu wakati wa matumizi.
π€£ π€£ π€£ π€£ na wakianza kutapikiana njiani na kusimamisha basi kuchimba dawa mahali pasipotakiwa inakuwa kero kwa nani? Kwao peke yao? amaUkisema utaambiwa pesa ni zao, tabu tupu π·
Let's meet at the top, cheers π»
Kilichopungua ni nini? Mwambie akurudishie asap ili kuepusha usumbufu wakati wa matumizi.
Wewe wasukuma hawapandi mabasi ni ndege tu. Hao uliowaona ni wamasai na wachaggaWaha, Wasukuma, Wamasai na Wanyakyusa haya makabila ni wasumbufu sana safarini.
Waha ubishi ubishi, Wasukuma kula kula, Wamasai mafuta yao wanatopakaa na kuongea na simu kwa sauti, Wanawake wa kinyakyusa wanajamba sana akigeuka kajamba.
Dah...watu wanakurupuka mno kutoa hitimisho.Kweli mkuu...Mimi binafsi yamrnikuta mwaka huu kwenye harakati ya vitambulisho vya mpiga kura...
Tumeamka saa 11 alfajiri ikiwa ni deadline nimepanga foleni sana sasa ndo imekaribia kufika nipo mlangoni...ghafla jamaa mmoja mule ndani ( muhusika ) akatoka akarudi na mdada (Sista duu) flani hivi amemshika mkono...kelele zikaanza huko nyuma " hatukubali,hatukubali" watu wanawazuia jamaa alikua na nguvu akafanikiwa kupita ila yule Dada alikua anazuiwa na watu na Mimi kwa kua nilikua mlangoni nikazuia tu mlango asipite kwani tulihisi ni upendeleo(rushwa)...basi yule jamaa akaniambia " hebu muangalie huyu Dada" ile nainua macho daah! " Kipofu" niliachia mlangoni nikakaa pembeni faster...nikaanza kufeel guilty palepale.
Bahati nzuri sikutamka maneno yeyote mabaya kama walivyotamka watu wengi pale..sanasana wadada ambao walidiriki kumuita Dada yule mpaka kina la "Malaya" bila majibu yeyote kutoka kwa Dada yule.
Nilichojifunza Siku ile nitaishi nach o milele.
π€£ π€£ π€£ π€£ na wakianza kutapikiana njiani na kusimamisha basi kuchimba dawa mahali pasipotakiwa inakuwa kero kwa nani? Kwao peke yao? ama
Kinyaa ni hali ya kuonea vitu/watu uchafu na kupelekea hali ya kujiskia kutapika na kushindwa kula/kunywa.Nimejikuta nacheka tu, kwani kinyaa ni nini?