Tabia za kinamama zinazoniudhi

[emoji2][emoji2]kuwa mrembo bila nywele fake inawezekana lifanyie kaz hilo
Haya ni maneno ya Wanaume suruali mifuko haisomi namba, Mwanamke wake Urembo na Biblia yangu inaniambia hivyo maana ni pambo shurti liwake wake kumvutia mtazamaji, upo hapo babu....?

Haya muda wa kazi huu katafute hela upate ya kumpa Mkeo hata ya kusuka yeboyebo na kupaka rangi kucha.
 
[emoji23] [emoji23]
 
 
 
Mmh! Ka kinyago cha mchina. Hv wanawake wanaojipamba hv wanakuwa wanawaza nini hasa? Na hao mabwana/waume zao hawatishwi na hizi sura kweli?
watu wa hivi ukiwaacha bila kuwaambia ni dhambi
J
 
Hahahahaha! Weweeeeeeee! Utatokaje ndukiiiiii!!!
tena ukutane na yule amenyoa nywele zake,alafu anakauvundo flan hivi kwenye kipochi manyoya weeeee,acha kabisa
 
La shaha mimi kama unavyo niona cna kitu chochote fake. Sema tu mmezidi gubu.
 
Utafiti unaonyesha wengi wenye tabia ya kujishughurisha na mambo ya watu yasiyowahusu hawanaga maendeleo.
Ni kweli hata wanaowashughulisha watu hawana maendeleo...ukiamua kuvaa kimini hadi chupi ikabaki nje unakuwa unawashughulisha watu na utakuwa huna maendeleo...pia heshima yako mbele ya jamii itashuka.
 
Tutafute pesa ili tukununue wewe??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…