Tabia za kinamama zinazoniudhi

Hivi unaanzaje kujishughurisha na mwili wa mwenzio ambao haukuhusu na wala hauhusiki na gharama za kufanyia hayo anayoyafanya kwenye mwili wake??????

INASHANGAZA SANA
 
Hivi unaanzaje kujishughurisha na mwili wa mwenzio ambao haukuhusu na wala hakuombi hela ya kufanyia hayo anayoyafanya kwenye mwili wake??????

INASHANGAZA SANA
Hivi unaanzaje kujipaka ma makeup hadi unakuwa ka kinyago na kuwatisha watu mitaani?

INASHANGAZI SANA.
 
Hivi unaanzaje kujipaka ma makeup hadi unakuwa ka kinyago na kuwatisha watu mitaani?

INASHANGAZI SANA.
Makeup nipake mie kwenye USO wangu kwa gharama zangu wewe inakuhusu nini??
 
Makeup nipake mie kwenye USO wangu kwa gharama zangu wewe inakuhusu nini??
Unawatisha watu kwa sura yako ka knyago baada ya kuvaa nywele na kucha za maiti na kupaka mi makeup uchwara yako. Paka hizo sumu zako halafu kaa ndani mwako uone kama kuna mtu atajishughulisha nawe.
 
Hivi unaanzaje kujishughurisha na mwili wa mwenzio ambao haukuhusu na wala hauhusiki na gharama za kufanyia hayo anayoyafanya kwenye mwili wake??????

INASHANGAZA SANA
watu wa hivi ukiwaacha bila kuwaambia ni dhambi
 
[emoji23][emoji23]sawa ila BILA NYWELE FAKE UTAPENDEZA ZAIDI.
Mwangalie Sudy Brown afu waangalie wenzie kina B12, watapata wapi muda wa kuwaza maendeleo yao binafsi wakati kutwa wako bize na maisha ya watu.
 
Wanawake wengi wa Tanzania hawajiamini kuhusu miili yako.

Utakuta ana

Rangi ya ngozi feki,
Kucha feki,
Kope feki,
Rangi ya mdomo feki,
Makalio feki,
Kucha feki,
Nywele feki,
Mapenzi feki.

Jiwe lililotupwa gizani, ukisikia kelele ujewe limempata mtu.
 
Na hili joto la Dar ata sielewi wanawezaje kubeba yale madude wiki nzima!
 
Halafu wenyewe wa naona kawa wameibeba dunia ulembo kiasi si mbaya kila sasa wengine wanazidisha unawezapishana na mtu utafikikiri vampire au zombie
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…