Tabia za kinamama zinazoniudhi

Mmmhh.
 
Mmh makubwa
 
Hahahaha! Mkuu taratibu...utauaaaaaaaaaa! Subiri wenyewe waje.
 
ngoja nitoe weaving langu nibaki kipara!
 
mambo vipi!!
[emoji3] [emoji3] au mpk nivue wigi!
 
wanawake kuweka manywele feki kichwani
Hasa yale manywele ya kimasai...kwanza hayana mvuto kabisa lakini utakuta wanawake wanachukua siku 2 hadi 3 kukamilisha kusuka kichwa kimoja tu.
 
loading error...............................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…