tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 25,970
- 25,357
Moja ya tabia za akina mama zinazoniudhi ni urembo bandia wa kucha, nywele, kope, nyusi, makalio, nyonyo na vitakataka vingine kama hivyo.
Utakuta mwanamke kaanika vipaja uchwara vyake nje akisuguliwa miguu na kubandikwa kucha bandia. Na haipiti hata wiki moja kucha zimebanduka anaenda kuweka zingine. Hivi hawa wanawake ni nani aliyewaroga?
Je, ni tabia gani ya kike inayokukera na kukufanya uwaone wanawake kama mazombie au misukule?