mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,678
- 1,279
kwahiyo kama mama yako alikuwa single madha na wewe ndio uoe single madha,msitupangie maisha hapa tutaoa album madhaNa wengi wao wasemao hawataki single mother wenyewe tu wamelelewa na masingle mother vile vile
Kulelewa na single mother haimaanishi kwamba ndo uoe single mother kila mtu ana vipaumbele vyake katika maishaBaeleze baeleze hao........jingine utasikia sioi single mother!nawakti dada zake nima single mother wenye watoto 3,4....Renyewe limelelewa na single mother......mtandaoni ndo linajitoa ......nawakat likio hako kasicha watatibuana nakuwa single dadi.Mama **yoooo!!.
Kulelewa na single mother haimaanishi kwamba ndo uoe single mother kila mtu ana vipaumbele vyake katika maishaNa wengi wao wasemao hawataki single mother wenyewe tu wamelelewa na masingle mother vile vile
1.Mwanamke aliyezaa ameshakuwa na familia tayari,Nakupinga mkuu kwani mwanamke aliyezaa ukimuoa ana shida gani?
Mimi syo mwanamke , soo i don know the perception of women kuhusu hilo, but naona wanawake wengi hawajali sana hilo. Mwaamke na mwanamme ni vitu viwili kabisa , they don need the same.Na mwanaume mwenye mtoto inakaaje hapo!
What makes a man are boyhood experiences and challenges,,,Dont mess up with boys,a really men doesn't behave like that,,,,,,pole sana
Boys are still growing in terms of maturity and capability of decision making,these are the ones who does/write shit to women.After sometimes they become men and stop behaving silly and be matured.What makes a man are boyhood experiences and challenges,,,
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] huyo ibilisi mzuia chaj alegee
Una vimelea vya uchaga..welcm to the party[emoji23]Yani ikifaaaa hii simu ndo kwaheri tena na JF usawa huu WA magu nianze kutoa Laki 3 bora niongeze kabati La vyombo
Imeanza lini hizo tabia za kunyonya ovyo?Simu yangu inazingua haitak kuchaj inanyonya chaj ikikaaa sawa nipm tupange madini
Mimi mchaga original + mpareeeUna vimelea vya uchaga..welcm to the party[emoji23]
Ndo ushangaee na weweImeanza lini hizo tabia za kunyonya ovyo?
Looh wayapenda macho yakoKazi yangu ni kuhakikisha napitia comemts zote.
Pole sana dada naon umeridhisha moyo tayarBaeleze baeleze hao........jingine utasikia sioi single mother!nawakti dada zake nima single mother wenye watoto 3,4....Renyewe limelelewa na single mother......mtandaoni ndo linajitoa ......nawakat likio hako kasicha watatibuana nakuwa single dadi.Mama **yoooo!!.
Kwn nn uctoe mfn mwngne had uweke mama.Jamani kuna baadhi ya wanaume wanakera sana naomba kabla ya kuumaliza siku ya leo naomba nitoe la moyoni,, utakuta mwanaume anaandika threads,sms au post za hivi ''unakataa kuolewa wakati ziwa limelala km ndala au anaandika umezalishwa mitoto mitatu alafu bado una ringa,,, hivi wewe mwanaume unae andika hivi una mama?? na km unae ulinyonya?? na km ulinyonya maziwa wa mama ako yakoje?? naomba kukuambia ukweli tu km wewe ni mwanaume mwenye tabia hii basi jua wewe ni taahira
Mungu awabariki.