Tabia yangu ndani ya JF

Tabia yangu ndani ya JF

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,425
Reaction score
5,094
Ndugu zanguni, je hiki ambacho huwa naandika ndani ya jamvi letu tukufu la JF ndio tabia yangu?
Je kuna uhusiano gani kati ya mawazo yangu, uwakilishi wangu na tabia yangu?
Naomba kila mtu ajiulize maswali haya
 
Labda nipitie profile yako kwanza ndio niweze kujibu.
 
mmh,am searching for answers!
Wengi humu wana jidai wakarimu,wapole and all the +ves ili waonekane
watakatifu,
ukiuliza kitu the other way around wata kushambulia kama vile
wao hawa kuzaliwa kwa njia niliyo pitia mimi!

Mh,nataka majibu
 
Ndugu zanguni, je hiki ambacho huwa naandika ndani ya jamvi letu tukufu la JF ndio tabia yangu?
Je kuna uhusiano gani kati ya mawazo yangu, uwakilishi wangu na tabia yangu?
Naomba kila mtu ajiulize maswali haya

Inahitaji muda wa kuanza kupitia profile yangu halafu ndio nije na majibu.
Lakini inshort tabia yangu huwa sifagilii wanaoendeza udini na huwa napambana nao sikubali kushindwa halafu na wale wanaojifanya kama JF yao kisa wanacheka na MODS siwamaindi hata kidogo hawa huwa nakula nao sahani Moja.
Inshort ndio hivyo.
Kazi kwako mkuu
Maana kila anayepost
Imabidi upitie Profile yake
Halafu ujue tabia yake
Zaidi ya hapo thread yako
Ni useless
Weekend njema!
 
Mimi sometime nakemea makosa ambayo hata mimi huwa nayafanya, lakini kwa kuwa siyafurahii basi huwa siyapi support. Mara nyingi naandika kile ninachokiamini au kama ni ushauri napenda kuuvaa uhusika na kujiuliza kama ni mimi suala hili ningelifanyaje? Ndipo nashauri mtu.
 
U-premium haupatikani kwa kuanzisha mi-off-topic tu ilmradi,,bali kwa kuchangia, mkono mtupu haulambwi.
 
Wewe mwenyewe ndo unaweza jua kama tabia yako ya mtaani na ya JF zinafanana au la...au umuulize mtu anaekufahamu ndani na nje ya JF.
 
in jf npo free more than elcwhere...coz outsyd jf i cnt xprec my feelings coz of ppo around me,so i cnt judge myself though hu i am in jf co dfferent sana na nlivyo bkwingine...
 
Back
Top Bottom