Tabia yako mbaya wala hujanitongoza!!

kwanza nenda kwa doctor hebu kaangalie HIV ni positive or negative kabla ya kwenda kwengine...
 

Exactly, you couldn't be more precise!! I love you kutoka kwangu wamesikia wanawake wawili tu maishani... wengine wote ni kugegedana tu. Yale maneno matatu hayatoki kimchezo ati
 
mnachoonga utadhan hamyafanyi vile...
 
Huyo labda changudoa...
 
Acha uzinzi ni dhambi, mithali 6:32 biblia inasema mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa.
 
Mlete kwangu nimtongoze akiridhika atarudi kwako amefurahi. Mabwaku. LOL.
 
wewe ni MLIBERALI???

Maneno ya Mfalme Suleimani hayo kaka...

Mithali 6:32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

NB: Next time acha kutumia lugha za wanasiasa
 
i conqure with u aisee wanaume niwazito sana kusema i love u except play boys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…