Wewe unaona hii ishu ni ya kuleta humu?? Kama ameshindwa kuliona hilo kwa miaka miwili lazima atakuwa na matatizo kweli. Hivi unaishije kwa kuelekezwa cha kufanya na mwanamke kwa miaka miwili mfululizo??!!!!come on man! Nini maana ya jukwaa la mapenzi na urafiki?nini maana ya kuleta huu uzi?
Kwani hata ungekuwepo wakati wanatongozana ungeleta tofauti gani?
Stop being mean and negative dude! Life is too short to hate
Wewe unaona hii ishu ni ya kuleta humu?? Kama ameshindwa kuliona hilo kwa miaka miwili lazima atakuwa na matatizo kweli. Hivi unaishije kwa kuelekezwa cha kufanya na mwanamke kwa miaka miwili mfululizo??!!!!
Aisee hiyo tabia inakera kweli...
Nina jirani yangu hapA ndio anamfanyia mume wake tabia hyo...
HatA kwenye mazungumzo unakuta jamaa anaongea bibie anamkosoa hapo hapo tena kwa mamlaka sie wa pembeni tunajiinamia...
Bi mama hataki jamaa hata asalimiane na majirani au akae na wenzie kidogo wabadilishane mawazo...
Akijaribu tu bibie anamfata...
Au we ndio jirani yangu mwe....
Cha msingi wewe ni kichwa cha familia kuwa hicho kichwa kweli..
Mweleze wazi tabia hiyo huipendi kama haelewi vitendo vinaongea zaidi.
Ila inawezekana kuna kaulegevu kwako kwenye kutimiza wajibu wako kama kiongozi wa familia...inawezekana kuna mambo ambayo kimsingi ulipaswa udhughulikie wewe lakini hufanyi hivyo na yeye ndio anafanya...hii pia inaweza kuchangia tabia hiyo....
Jikague amka be a man...a real man.
Kama hii stori ni ya kweli, basi wewe unamatatizo kumkichwa...I mean hauko sawa kichwani.
Anyway hayo ni maisha yenu na wakati mnatongozana hatukuwepo...ahsante napita zangu
chonde chonde,,,isije fikia hapa