Tabia ya Wazee waliopitia Ubaharia

Tabia ya Wazee waliopitia Ubaharia

sasa hii video inahusiana nini na Topic!

Haya ndio matatizo ya Jitu la miaka 50 kujifunza jana Copy and paste.

Usije ukajisahau tu ukaweka picha za ngono!
Hatari sana mkuu.

Sheikh kuna ile ya mizigo, nikuwekee?
 
Wanazeekea kunako bandari coz unakuta mtu miaka 20 yuko majini lzm ajisahau km utu uzima ushatia timu kwake so anaresume pale alpoishia

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

This makes a lot of sense...!!!
 
Wadau hivi kwanini wazee wengi walio pitia Ubaharia hupenda kujiona bado ni Vijana?

Muangalie baba yake Dully Sykes mzee Abby Sykes,Mihereni na Mipete vidoleni mpaka Uzeeni .Yupo Mzee mwingine hapa Mtaani kwetu,ni Baharia wa zamani,hana mke mpaka hii leo na anaishi nyumba ya kupanga.Altitude and appearance ni kama ya baba yake Dully.

Kuna wazee wengine wawili huwa nawaona posta mjini-DSM,mienendo na muonekano wao ulinifanya nitake kuwafahamu zaidi.wanaowafahamu wakaniambia hao wazee ni ma-former seaman.

Na kwa hapa Jf tunaye Brother Le Big Show,Le Mutuz Le Baharia,King of all Social Media in Tz. wanao mfahamu,wanadai kiumri he is betwen 50-55 na aliwahi kuwa Baharia,lakini mambo yake ni kama kijana wa miaka 18-25.wote tu mashuhuda wa hilo.

Hawa ni wachache tu,Natumai umewahi kukutana na hawa Babaharia wa wazamani huko mitaani na umeoona mienendo yao.

Najiuliza Ubaharia unawafanya nini hawa jamaa mpaka wanakuwa hivyo walivyo?.Ina maana hata hawa vijana Mabaharia wa sasa,watakapofikisha umri mkubwa kuanzia miaka 50 watakuwa na tabia kama ya le mutuz?.

karibu ktk mada.

Le Mutuz wablock hawa Jamaa naona wanakutafuta
Cc lemutuz
 
Hahaha jf kuna vituko sana!
Nimegundua watu wanampenda sana lemutuz humu jf.
 
Kuna mmoja jirani yangu anajiita 'captain' basi sheedaah tupu! Hana mke na anaishi kisela balaa yuko kwenye 60s
 
Wadau hivi kwanini wazee wengi walio pitia Ubaharia hupenda kujiona bado ni Vijana?

Muangalie baba yake Dully Sykes mzee Abby Sykes,Mihereni na Mipete vidoleni mpaka Uzeeni .Yupo Mzee mwingine hapa Mtaani kwetu,ni Baharia wa zamani,hana mke mpaka hii leo na anaishi nyumba ya kupanga.Altitude and appearance ni kama ya baba yake Dully.

Kuna wazee wengine wawili huwa nawaona posta mjini-DSM,mienendo na muonekano wao ulinifanya nitake kuwafahamu zaidi.wanaowafahamu wakaniambia hao wazee ni ma-former seaman.

Na kwa hapa Jf tunaye Brother Le Big Show,Le Mutuz Le Baharia,King of all Social Media in Tz. wanao mfahamu,wanadai kiumri he is betwen 50-55 na aliwahi kuwa Baharia,lakini mambo yake ni kama kijana wa miaka 18-25.wote tu mashuhuda wa hilo.

Hawa ni wachache tu,Natumai umewahi kukutana na hawa Babaharia wa wazamani huko mitaani na umeoona mienendo yao.

Najiuliza Ubaharia unawafanya nini hawa jamaa mpaka wanakuwa hivyo walivyo?.Ina maana hata hawa vijana Mabaharia wa sasa,watakapofikisha umri mkubwa kuanzia miaka 50 watakuwa na tabia kama ya le mutuz?.

karibu ktk mada.
sap ya maisha hiyo muda mwingi wanautumia kumayi(majini)sasa kama nakuja kwa nchi kavu labuda yapata hata miezi kenda nakuwa mshamba tayari mutu ya miaka makumi sita nakuwa kama mutoto ya shule
 
sap ya maisha hiyo muda mwingi wanautumia kumayi(majini)sasa kama nakuja kwa nchi kavu labuda yapata hata miezi kenda nakuwa mshamba tayari mutu ya miaka makumi sita nakuwa kama mutoto ya shule

teh teh maisha ya kushinda mumayi miaka mingi ni munoma sana.
 
kuna mwingine yupo pale royal girraffe(sudan temeke) anaitwa mpoma kama unaingia club juu yeye ndio anahakiki ticket ana mambo hayo hayo...nahisi amefika miaka ata 55 to 60 akivaa lazima mfuko wa nyuma atoe leso nje

hahaha!,huo mtindo wa kuning'iniza kitambaa mfuko wa yuma,karibia mabaharia wote na wasela wa zamani bado wanaudumisha.wenyewe wanaita "durag".ni old school swag but kwa hawa wenzetu ni kama mtindo wa juzi tu.

binafsi navutiwa sana na dress code ya hawa mabaharia wa zamani.kikaptula cha kaki,kiatu kikubwa cha ki-cow boy aka lakuchumpa,tshirt yenye alama ya nanga au fuvu la binadamu,cheni kubwa shingoni,hereni au pete kubwa(japo sio wote wanavaa) na kofia kubwa.wengine hupendelea kufuga ndevu nyingi.ukimkuta baharia club anakula bata zake,unaweza kudhani umekutana na bonge la zungu la unga.lol
 
Hamna baharia yeyote katika ulimwengu huu ambae ajaliwa min kabang.
 
Back
Top Bottom