kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
Wadau hivi kwanini wazee wengi walio pitia Ubaharia hupenda kujiona bado ni Vijana?
Muangalie baba yake Dully Sykes mzee Abby Sykes,Mihereni na Mipete vidoleni mpaka Uzeeni .Yupo Mzee mwingine hapa Mtaani kwetu,ni Baharia wa zamani,hana mke mpaka hii leo na anaishi nyumba ya kupanga.Altitude and appearance ni kama ya baba yake Dully.
Kuna wazee wengine wawili huwa nawaona posta mjini-DSM,mienendo na muonekano wao ulinifanya nitake kuwafahamu zaidi.wanaowafahamu wakaniambia hao wazee ni ma-former seaman.
Na kwa hapa Jf tunaye Brother Le Big Show,Le Mutuz Le Baharia,King of all Social Media in Tz. wanao mfahamu,wanadai kiumri he is betwen 50-55 na aliwahi kuwa Baharia,lakini mambo yake ni kama kijana wa miaka 18-25.wote tu mashuhuda wa hilo.
Hawa ni wachache tu,Natumai umewahi kukutana na hawa Babaharia wa wazamani huko mitaani na umeoona mienendo yao.
Najiuliza Ubaharia unawafanya nini hawa jamaa mpaka wanakuwa hivyo walivyo?.Ina maana hata hawa vijana Mabaharia wa sasa,watakapofikisha umri mkubwa kuanzia miaka 50 watakuwa na tabia kama ya le mutuz?.
karibu ktk mada.