Tabia ya watu kucheka na kudharau sana kitongoji cha jiji la Dar es salaam kiitwacho Buza

nasrimgambo

JF-Expert Member
Jan 10, 2017
1,858
2,348
kumeibuka tabia ya watu kucheka na kudharau sana kitongoji cha jiji la dar es salaam kiitwacho buza

yani buza ingekuwa mtu, sa hivi angekuwa kajifungia ndani asitoke nje kwa aibu ya kuchekwa,

kila kona ni buza buza buza,

utakuta mtu kasimama kituoni mara daladala ikaja watu kwa nguvu wakagombea kupanda, mtu atasikika anaropoka ' haya tuko buza', utasema buza ndiko pekee hapa mjini kuna kugombea gari.

kapita mdada ana maongezi ya hovyohovyo ya mtaani, mtu atasikika anaropoka ' haya tena mdada wa buza huyo'

instagram nako, utakuta mtu kaposti picha yuko mitaa mizuri mara unakuta mtu anaibuka na kukomenti, ' unayetupa shida ni sie wakazi wa buza' eti kwa maana wao wa buza hawako maeneo mazuri kama aliyoko aliyeposti picha

kwanini buza na sio kwengine
 
kumeibuka tabia ya watu kucheka na kudharau sana kitongoji cha jiji la dar es salaam kiitwacho buza

yani buza ingekuwa mtu, sa hivi angekuwa kajifungia ndani asitoke nje kwa aibu ya kuchekwa,

kila kona ni buz buza buza,

utakuta mtu kasimama kituoni mara daladala ikaja watu kwa nguvu wakagi bea kupanda, mtu atasikika anaropoka ' haya tuko buza', utasema buza ndiko pekee hapa mjini kuna kugombea gari

kapita mdada ana maongezi ya hovyohovyo ya mtaani, mtu atasikika anaropoka ' haya tena mdada wa buza huyo'

instagram nako, utakuta mtu kaposti picha yuko mitaa mizuri mara unakuta mtu anaibuka na kukomenti, ' unayetupa shida ni sie wakazi wa buza' eti kwa maana wai wa buza hawako maeneo mazuri kama aliyeko aliyeposti picha

kwanini buza na sio kwengine
Huko ndo kwa watani
 
Hahaha
Screenshot_2019-08-17-20-09-46-1.png
 
IMG-20190816-WA0064.jpg
 
Watoto wa juzi hamuwezi kujua hiyo imeanzia wapi, miaka ya seventies na eighties Buza ilikwa ni kijijini kabisa ndiyo wale wenye tabia za 'kishamba' au muonekano wa 'kishamba' walikuwa wakiitwa wa kutoka Buza au wa tabia za Buza.
Hata sisi wa miaka hiyo huo msemo hatujui ulianza lini.

Nikama ukisikia mtu anaitwa Mtindiga kwa maana ya mshamba au hajastaarabika, ni kabila linalodumisha mila na desturi ila imepelekea watu kuitumia hiyo hali kama ushamba.
 
Buza kwa Jimmy agent mahala pangu pa kujificha na kula raha ilikuwa miaka saba iliyopita sijui sasa pakoje

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro
 
Kuna maeneo kama yana laana hivi ...ukikatiza mitaa ya Ngalimii (Ungalimited) ukikata kona ya kwanza unakutana na lijamaa halina jicho moja na mialama kibao ya mikato ya mapanga!! Ile unakata kona ya pili unakutana na jibwa kubwa halina jicho alafu likuvimbia hadi kidizaini unaweza kurudi ulipotoka kiupole lisikuanzishie vagi ...
 
Back
Top Bottom