Huu mtindo wa jamaa ya Bongo movie,flava &Co. kufunga br. pia inabidi ufikie mwisho, kama vile akina Wema &Co.!
Aidha wapite usiku, weekend au siku za sikukuu lkn siyo siku za kazi!
Haya ni matokeo yakutowajengea vijana wetu uwezo wa kiakili kwa kuwanyima elimu na kutowapa elimu bora.
Haya ni matokeo yakutotengeneza mazingira mazuri kwa vijana na kuwarahisishia njia za utafutaji.
Haya ni matokeo ya kutotumia nguvu kazi iliyopo ipasavyo na kuiacha ikizagaa mitaani..
Taifa linajengwa kwa nguvu ya pamoja na sio kwa kupiga ramli..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.