Tabia ya Warembo kuvuta bangi imetokea wapi?

Tabia ya Warembo kuvuta bangi imetokea wapi?

kinshwi

Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
48
Reaction score
173
Huu utamaduni wa watoto wa kike kuvuta bangi umetokea wapi?

Siku za hivi karibuni nimekuwa nikikutana na wadada warembo wa vyuo, wengine watumishi katika ofisi za umma na binafsi wanavuta sana bangi. Zamani tulizoea vijana wa kiume ndio walikuwa watumiaji wa bangi lakini hawa nao walionekana watu wa ajabu kwenye jamii.

Sasa hivi hawa warembo tena wasomi na wenye maisha mazuri wanavuta, wanakula na wanakunywa bangi.

Ni kitu gani kinawasibu dada zetu?
 
Huu utamaduni wa watoto wa kike kuvuta bangi umetokea wapi?
siku za hivi karibuni nimekuwa nikikutana na wadada warembo wa vyuo, wengine watumishi katika ofisi za umma na binafsi wanavuta sana bangi. Zamani tulizoea vijana wa kiume ndio walikuwa watumiaji wa bangi lakini hawa nao walionekana watu wa ajabu kwenye jamii. Sasa hivi hawa warembo tena wasomi na wenye maisha mazuri wanavuta, wanakula na wanakunywa bangi.
Ni kitu gani kinawasibu dada zetu?
Yaani hasa hawa watoto wa kaskazini wana balaa sana yaani watoto wazuri unasema umeopoa unafika nae room anatoa misuba na kvant yaani unabaki mdomo wazi maana mm mwenyewe sithubutu ata kusogea bangi ila yeye anavuta vijiti viwili chap tu.
 
Huu utamaduni wa watoto wa kike kuvuta bangi umetokea wapi?

Siku za hivi karibuni nimekuwa nikikutana na wadada warembo wa vyuo, wengine watumishi katika ofisi za umma na binafsi wanavuta sana bangi. Zamani tulizoea vijana wa kiume ndio walikuwa watumiaji wa bangi lakini hawa nao walionekana watu wa ajabu kwenye jamii.

Sasa hivi hawa warembo tena wasomi na wenye maisha mazuri wanavuta, wanakula na wanakunywa bangi.

Ni kitu gani kinawasibu dada zetu?
Zinawapa sana nyege sana pia relieve stress kwa muujibu wao
 
Wengi huvuta Kwa kufuata mkumbo aidha waliona Fulani anavuta au walifundishwa na mabwana zao au ni mtazamo wa hovyo wa mtu na jamii inayomzunguka. Wavutaji bangi halisia wanajijua kwanini huwa wanavuta...kenge ziko nyingi sana.
 
Back
Top Bottom