Tabia ya wanaume kuchelewa kurudi nyumbani

Tabia ya wanaume kuchelewa kurudi nyumbani

Pole mama yaani hili sometimes ni janga ...Nashindwa hata kusema neno zaidi

Mie huwa najiuliza mtu unarudi nyumbani saa tano ,sita saba ,nane unategemea nini??
 
Nimejikuta tu nacheka...sasa Eli79 hii hoja yako umeiibua kutoka wapi aisee...

..sio ndio ukweli lakini Khantwe?
msitusingizie kuwa vidume tu ndio wnaingia home late, hata nyie siku hizi hamtulii home.
..kutwa kucha barabarani....!
 
Last edited by a moderator:
Hi wana forum ninahitaji sana ushauri nipo kwenye wakati mgumu na sijui cha kufanya. Mimi ni mama wa watoto watatu nimeolewa mtoto wangu wa tatu anaumri wa miezi miwili sasa.

Nina mume na tunaishi vizuri anatuhudumia kadri ya uwezo aliojaliwa na mungu kwa kila tunachohitaji kama kiko ndani ya uwezo wake.

Na kiukweli ninampenda sana mume wangu kuna wakati ninapata vishawishi ila ninavishinda kwa sababu ninampenda sana sweet wangu na siwezi kumsaliti. Sasa kuna kitu kinaniumiza sana mume anapenda sana kuchelewa kurudi akitoka asubuhi kurudi saa tano hadi saa sita ucku kila siku na sio mnywaji pombe.

Kiukweli sipendi tabia hiyo na inanifanya ninakosa raha hata kumkaribisha chakula na kumsaidia vitu vingine kama Mke wake ninaomba mnishauri nifanye nini ili ndoa yangu iwe na furaha na amani.

Acha ujinga wewe. Utaharibu ndoa yako kwa mikono yako mwenyewe. Wanaume tulio wengi tunapenda kuchelewa kurudi nyumbani. Hayo ni mambo ya kawaida kabisa. Labda uolewe na mwanaume mlokole.

 
Ni kawaida sana,hasa kama umejifungua,huepusha mengi;
ulivyoandika;ki intelijensia wewe ni mkorofi kwa mumeo.
Tabia ya kutomchangamkia, eti kachelewa ndo wazidi jenga ukuta.
 
..sio ndio ukweli lakini Khantwe?
msitusingizie kuwa vidume tu ndio wnaingia home late, hata nyie siku hizi hamtulii home.
..kutwa kucha barabarani....!

Hahaa sijui huko kwenu ila mi kila siku mume wangu ananikuta ndani
 
Last edited by a moderator:
Acha ujinga wewe. Utaharibu ndoa yako kwa mikono yako mwenyewe. Wanaume tulio wengi tunapenda kuchelewa kurudi nyumbani. Hayo ni mambo ya kawaida kabisa. Labda uolewe na mwanaume mlokole.


Huwa mnapitia wapi?
 
Je tabia yake hiyo ameianza siku za karibuni au toka amekuoa huwa anachelewa? Kama jibu ameanza siku hizi basi jiulize kwa nini maana huenda na wewe una matatizo yako kwa hiyo anaona bora achelewe kurudi, kama ameanza kitambo basi hiyo tabia umelea mwenyewe.
Nitonye asante, Kabla ya ndoa muda wote aliokuwa free alitaka tuwe pamoja, kitu ambacho kilinifanya nimzoee na yeye kuwa kila kitu kwangu rafiki yangu, mshauri wangu baada ya ndoa ndio akaanza kuwa bize na marafiki zake na urafiki wetu ukapungua ilikuwa inaniuma nikimuambia atabadilika muda mfupi halafu anarudia. Sasa mwanzo alikuwa anarudi saa mbili tatu ucku baada ya kujifungua ndio ninaona hali inazidi inafikia hadi saa sita Ucku. Kiukweli akirudi mapema huwa ninafurahi nitafanya chochote atachohitaji. Ila anaporudi hiyo saa sita hata nikiwa macho hata kumuambia karibu ninashindwa ninamuangalia tu ndio nikaona niitoe humu nipate ushauri.
 
Hi wana forum ninahitaji sana ushauri nipo kwenye wakati mgumu na sijui cha kufanya. Mimi ni mama wa watoto watatu nimeolewa mtoto wangu wa tatu anaumri wa miezi miwili sasa.

Nina mume na tunaishi vizuri anatuhudumia kadri ya uwezo aliojaliwa na mungu kwa kila tunachohitaji kama kiko ndani ya uwezo wake.

Na kiukweli ninampenda sana mume wangu kuna wakati ninapata vishawishi ila ninavishinda kwa sababu ninampenda sana sweet wangu na siwezi kumsaliti. Sasa kuna kitu kinaniumiza sana mume anapenda sana kuchelewa kurudi akitoka asubuhi kurudi saa tano hadi saa sita ucku kila siku na sio mnywaji pombe.

Kiukweli sipendi tabia hiyo na inanifanya ninakosa raha hata kumkaribisha chakula na kumsaidia vitu vingine kama Mke wake ninaomba mnishauri nifanye nini ili ndoa yangu iwe na furaha na amani.

Be calm and find your own happiness
 

as far as anatoa huduma zote
muulize asipojibu cha kueleweka jua kashaanza
michepuko, but kama vp potezea usijekufa presure!!
hanywi pombe anakaa wapi mpaka huo muda ngumu kumeza!!
 
..sio mnywa pombe....wanywa pombe ndo wakoje?
 
Pole shosti,je ameajiriwa mumeo au amejiajiri mwenyewe? kwenye sita kwa siata anawajibika kama ipasavyo au anastiri hali tuu? jee baada ya kuzaa umepungua mvuto? unampa time na yeye au mda wote uko busy na mtoto? je unajiweka kwenye ile hali ya kumtamanisha arudi nyumbani mapema? umeongeza uzito?
 
He hee, miss neddy nilimkumbusha huyu dada angelita

Kumbe imekuwa ngumu kumeza kwa angelita

Mawazo yako Mkuu siitaji kukumbushwa, hilo swala ungepeleka huko kwenye hot talk afu sina waume Nina mume jifunze kutofautisha wingi na umoja, hapa tumekuja kuchangia mada iliyopo.
 
Last edited by a moderator:
Huyo mwanaume anajitambua, kuwahi nyumbani mwishoni unapewa kazi ya kufua vyupi vya mke
 
Back
Top Bottom