Aris Saolanica
Senior Member
- Apr 27, 2017
- 124
- 83
Eti anajua hilo bando mwenzie kapewa na nani???Sasa utamchatishashe bila bando? Lipia bando wacha woga
Hapo sasa š¤£
Mwanaume analiwa kila upande maskiniSasa utamchatishashe bila bando? Lipia bando wacha woga
Una kiherehere mkuu
Mbona umeambiwa jambo zuri tu.Una kiherehere mkuu
Sijaliā¦Mbona umeambiwa jambo zuri tu.
Kwani wewe nawe uko cheao hivyo mrembo?.
Haha ipo siku utamjibu vibaya anayekufahamu nje ya jf na namba anazo hakuna rangu utaacha