Tabia ya wadada kuweka kopo la kukojolea ndani inatokana na nini?

Hahahaaaaaa umenikumbusha mbali sana mi na demu wangu lilitusevugi sana wakati huo
 
Mkuu kuna watu wamepanga kwenye nyumba na wengine wamepanga kwenye pango. Hata kodi huwa kuna wanaolipa kodi ya nyumba na wengine wanalipa kodi ya pango.

Ndivyo hivyo hata kwa wamiliki. Wapo wanaomiliki nyumba na wengine wanamiliki mapango. Nadhani nimekufafanulia vizuri ili uongezee maarifa yako kidogo upate majibu ya hayo makopo.

Usukumani yapo sana hayo, tena unakuta kila chumba. Wanaita zululu. Wasukuma mnisamehe
 
Mimi kuna siku nilwahi kumfichia mdada mmoja kopo lake la kukojolea basi akakojolea beseni yaan ukimfichia beseni anatumia ndoo ndogo ukimfichia ndoo anatumia vikopo vya dawa au mafuta au masufuria yaliyoyotoboka halafu anaamka mapema anamwaga kwenye majani basi iyo sehemu majani hayaoti sijui kwanini
 
Kwa hiyo shida ilikuwa nini?

Akukojolee wewe?

Mkuu una nyege mbaya sana.
 
Back
Top Bottom