Tabia ya sherehe kupikiwa pilau iachwe

Tabia ya sherehe kupikiwa pilau iachwe

Maharusi mengi tunayo changia yani mtu ushapakia bia zako za kutosha unakuta msosi mkubwa ni pilau au wali wa maji.
Akili huna mchango unatoa wa harusi hutoi ili ukale au kunywa kula na kunywa kwenu au kwa mama nitilie au restaurant au popote

Pesa za mchango unatoa kusaidia tu shughuli yao wakikupa chakula au kinywaji sawa wasipokupa sawa sio kesi bwege wewe
 
Akili huna mchango unatoa wa harusi hutoi ili ukale au kunywa kula na kunywa kwenu au kwa mama nitilie au restaurant

Pesa unatoa kusaidia tu shughuli yao wakikupa chakula au kinywaji sawa wasipokupa sawa sio kesi bwege wewe
Kama na kukumbuka sikukuchangia .Ndio asira zako za kukosa michango umezileta hapa utupikie pilau
 
Kama na kukumbuka sikukuchangia .Ndio asira zako za kukosa michango umezilita hapa utupikie pilau
Usicgangie kama lengo lako ukitoa laki taoni mchango wa harusi unataka unataka walau nusu ubomoe hujielewi

Usichange kabisa huelewi michango ya harusi maana yake nini

Una utoto mwingi

Vikao vya michango ya harusi kaa navyo mbali
 
Back
Top Bottom