Jile79 JF-Expert Member May 28, 2009 17,668 13,237 Aug 3, 2020 #241 Khantwe said: Labda useme tayari ana kazi, ukiwa umejiajiri si ndio kabisa connection muhimu? Au hiyo ajira yako inakuwa haina wateja au clients Click to expand... Ajira zinatofautiana sana mkuuu....
Khantwe said: Labda useme tayari ana kazi, ukiwa umejiajiri si ndio kabisa connection muhimu? Au hiyo ajira yako inakuwa haina wateja au clients Click to expand... Ajira zinatofautiana sana mkuuu....
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Aug 10, 2012 47,864 41,228 Aug 3, 2020 #242 Huwa tunakosea sana
Operand JF-Expert Member Jan 25, 2020 275 283 Aug 5, 2020 #243 Jile79 said: Basi tuache iwe hasara ya mpokeaji ambaye hajataja kupokea..... Labda huyo Hajaomba kazi yoyote sasa kwa nn afikiri interview wkt kajiajiri😀😀 Click to expand... kumbe ukijiajiri nndio hupokei simu za kikazi?
Jile79 said: Basi tuache iwe hasara ya mpokeaji ambaye hajataja kupokea..... Labda huyo Hajaomba kazi yoyote sasa kwa nn afikiri interview wkt kajiajiri😀😀 Click to expand... kumbe ukijiajiri nndio hupokei simu za kikazi?