encyclopaedia Tanzaree
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 517
- 405
Endelea wala sio vibaya hakuna madhara yoyote kwa mtazamo wangu
Mtu usipo tumia kitu cha moto asubuhi kwa muda mrefu haiwezi kuleta shida badaye?Endelea..
Kipasha tumbo asubuhi kuna faida zake uamkapo asubuhi na si lazima iwe chai inaeza kuwa ata maji ya vuguvugu kidogo unaliweka sawa kwa glass moja ya maji ya vuguvugu then unaendelea na ratiba zako.Mtu usipo tumia kitu cha moto asubuhi kwa muda mrefu haiwezi kuleta shida badaye?
Daah.. upo kama mimi yaani chakula chochote hata kama nakipenda vipi ukinilazimisha kula na chai nakula kidogo kama mtotoNi addiction tu...Na case yako kwa afya ni nzuri si mbaya ukiendelea.
Mimi nilikuwa nadisi chai nikaanza kupenda maji.Nikawa addicted sasa.Kila nikiamka asubuhi ni maji.Nikajitahidi kuvumilia hamu yangu ya maji asubuhi,nikashinda kwa kiasi chake.So nikawa napiga breakfast kabla ya kunywa maji ila nikimaliza maji ni lazima nipige.Na ndo ipo hivyo hadi leo.
Chai ya rangi sipendi.
Kuna mtu alinitishia eti ipo siku utumbo utajikunja kwa kutokupenda kula kitu cha moto asubuhiNi vizuri haswa unatoa sumu zote mwilini asubuhi
Ndio matunda gani hayo mkuu....Kabla sijakuelewa ulikuwa unamaanisha matunda ya kawaida nilistuka sana nikajua unamaanisha matunda kama ya kina menina
Yale wanayokula kimasihara!Ndio matunda gani hayo mkuu....
Bado umenifumba, au mm nayajua kwa jina lingineYale wanayokula kimasihara!
Hii risk ya utumbo kujikunja inakuwaje maana kuna mtu alinitishiaNi vizuri,ingawa asubuhi mara nyingi tunashauriwa kuweka menyu yenye akili kidogo ili uweze kuhimili mikiki ya kutafuta mkate wa kila siku,ila kama unakula hayo matunda na hayakupi shida yoyote endelea tu na utaratibu wako...
Duh, nilikuwa sijalijua hadi nimelijua😄😄Wai, nilijua tunda la kimasihara, duuuu
Sorry mjukuu wangu.
Ni nzuri endelea tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata usipo kula cha moto.. haina shida.. zile zikikuwa tamaduni zisizo na tija...Mtu usipo tumia kitu cha moto asubuhi kwa muda mrefu haiwezi kuleta shida badaye?
Itakuwa lile walilokula Adam na Hawa etiBado umenifumba, au mm nayajua kwa jina lingine