Tabia sugu za wanaume wa Afrika

Wewe Utakuwa mgeni Afrika....unaweza kusema unawajuwa wazungu sana kumbe huwajuwi
 
Kama mmeo ana tabia zote hizo Hafai, uaijidanganye wote wako hivyo, sox zafuliwa kila siku na kama mke au gf una wajibu wakuhakikisha ni safi, sasa sijui wamlaumu nani
Umesha nigeuza kuwa mimi ni Mke aka (Female) mimi ni Dume angalia hiyo picha yangu mkuu.@uttoh2002
 
Wewe Utakuwa mgeni Afrika....unaweza kusema unawajuwa wazungu sana kumbe huwajuwi

Siwajui wazungu saana kama niwajuavyo wanaume wa kiafrika, baba zangu wakubwa na wadogo, wajomba na kaka zangu wote ni wanaume wa kiafrika. Ila nimegundua haya matatizo makubwa tuliyonayo Afrika kama corruption, kuwa na mistress na mengine machafu yote wanayafanya wao tena wale watu walio juu kwenye society lakini ni kwausiri mkubwa sana.
 

Mhmhmhh haya tufanye nimukuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…