Tabia nisizozipenda kwa wanaume

Tabia nisizozipenda kwa wanaume

Jamani naenda moja kwa moja .
Tabia zinazonikera kwa wanaume kiukweli kama mtabadikika basi Dunia itakuwa mahali safi na nitawapenda sana baba zangu nyie na wapenzi niwapendao.

1. Muache uchafu jamani wanaume mjitahidi kufua hata boksa. Why boksa moja iyo iyo like seriously

2. Mjitahidi kuoga.

3. Muwe smart. Mvae vizuri mpendeze, hapa soksi.

4. Smart kwenye kuongea
mbona kama muandiko wa kiume huu.!
 
Huu uzi umejaa Nnya,Muandiko wa kiume huu.
 
Back
Top Bottom