Michael Mtitu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 693
- 512
Huwa wanapewa sana mizigo kwa sababu hawatoi siri.Most of them mkuu...
Umalaya wa kichini chini, yaani wengi wa habari...si anajua yy mpole watu hawashtukii
Chunguza wale wanaokamatwa na wake za watu, tabia zao kitaa kila mtu huwa anashangaa!
9. Ni wapigaji Punyeto wazuri sana tu tena kimya kimya kama walivyo wakimya.
Naona umeamua kunisema wazi wazi,Kweli, ila umesahau moja. Akiishiwa uvumilivu ni mbaya kuliko simba na si wepesi kusamehe.
Watu wa humu mnachuki na sie wapole maana dah!...kasema yote
Hata paka ni rafiki mzuri lkn jifungie naye chumba kimoja kisha anza kumpiga uone kitakachotokea. Anageuka kuwa chui na anaweza kukutoa macho na udogo wake ule. Ukweli ni kwamba mtu mpole ni mvumilivu sana na mwenye subira sana lkn siku uvumilivu ukiisha kwa unayomfanyia anageuka kuwa mbaya kuliko mtu mkali unayemfahamu.Hawezi kukubadilikia bila sababu, ulivoelezea ni km awali wewe ulimhesabu km ni boya na inaelekea ulimburuza mahali ndo maana alikugeuka ili ajiokoe. Mjusi ukimfukuza saaana anageuka kuwa nyoka.
Mkimya si mzungumzaji lkn mpole ni zaidi ya kutokuwa mzungumzaji. Mpole huwa amepambwa nuru ya huruma na unyenyekevu wakati mkimya anawwza kuwa si mzungumzaji lkn ni katili sana.Na mimi Nilitaka niulize ili.
Haaa haaa...angalia na observe jamii inayokuzunguka inasemaje kuhusu wewe?
Hujaeleza maana mkuu, umejaza seva tuUpole ni mtaratibu
Unyenyekevu ni kunyenyekea pale umepata shida na mtu akakusaidia hio shida yako
Hapo unatakiwa umnyenyekee pindi unapohitaji msaada
Meona eeh...basi fanya yako binadamu hawana jema hata moja, uwe mpole, mkimya, mcheshi hakuna jema kwaoJamii gani hii ya wanafiki?
We utakuwa MAPEPE tu.Mimi sijijui kwa kweli sijui mpole,mkimya au mapepe nipo nipo tu