Tabia mbaya ya watanzania kujisajili ndani ya familia za wanasiasa mashuhuri

Mwigulu Nchemba kajisajili kwa Jakaya.
Ally Hapi alijisajili kwa Kayanza Mizengo
Nape Nnauye kwa Fredrick Sumaye ( before 2005)
David Kafulila kwa Hashim Spunda

Hussein Bashe kwa Ngoyai

Kigwangwala kwa Mama Salma

Leo huko Urambo Makonda alikuwa na kihelehele kuliko RC wa Tabora Aggrey Mwanri
Eti kafulila kwa hashim Spunda.. aise nimecheka sana kwaweeelii
 
Le Mutuz kajisajili Kwa Riz1 Kikwete,Davids Mosha
W. J. Malecela

- Wewe kama huna marafiki wenye majina makubwa sio kosa langu, pole sana mwanaume mzima kufuatilia maisha ya wanaume wengine na hapa mjini ni hatari sana mkuu, unaweza kuishia kufanyiwa mambo yasiyokuwa maana mwanaume unakuwa mmbeya na mdaku waachie mabebezz eti, hahahahahahahahhaha U know
\
- Haya ni maneno ya jikoni kina mama wanakuna nazi ndio huwa wanaongea haya ya udaku sasa na wewe mwanaume mzima inasikitisha sana U know hahahahahaha

le Mutuz
 
Ahahahaha! He put his nose where it ain't belong...sting him dude!
 
- Wewe kama huna marafiki wenye majina makubwa sio kosa langu, pole sana mwanaume mzima kufuatilia maisha ya wanaume wengine na hapa mjini ni hatari sana mkuu, unaweza kuishia kufanyiwa mambo yasiyokuwa maana mwanaume unakuwa mmbeya na mdaku waachie mabebezz eti, hahahahahahahahhaha U know
\
- Haya ni maneno ya jikoni kina mama wanakuna nazi ndio huwa wanaongea haya ya udaku sasa na wewe mwanaume mzima inasikitisha sana U know hahahahahaha

le Mutuz
Simama mwenyewe huna haja ya kujikomba,upambe Kwa wanaume wengine
 
Le mutuz kajisajili familia kibao ......ni familia ya makonda
Riz moko
Sitta
Majariwa
Makamba
Bila kusahau yeye mwenyewe Katoka Katika familia ilyokuwaga juu zamani
 
Naomba iletwe taarifa hapa.Ni lini nilijisajili kwa familia ya Mbowe?

Mleta Mada leta Ushahidi wangu kwa matamshi ya Mdomo au Maandishi kuhusiana na hili.

Nisiingizwe kwenye kundi ulilotaja bila ushahidi.

Kwa nafasi yangu ni Executive Aide wa Mwenyekiti Taifa na Mshauri wake masuala ya Kisera .

Kwanini JF turuhusu watu kupotosha na kujiandikia andikia tu kama huyu mleta mada hapa juu?

Tena Mleta Mada badala ya Kumtaja Vincent Nyerere kwenye eneo alilomuweka Steven Nyerere,bado haoni kuwa kuna makosa.

Mtu asiye makini na mwenye hasira na Chuki tu.

Wengine sitawajibia.
 
JANA KWA MUNGAI NDIO WAMEKOMA IKATANGAZWA MSIBA NDIO MWISHO HAPO WATAKAOBAKI NI NDUGU WANAFIKI WALIPOMUONA AFISA UHAMIAJI MKOA YUPO MAKABURINI ALIBAKI MJALUO MMOJA NA MWARABU MMOJA TU

Mkuu samahani sijaelewa umeandika nin

- Wewe kama huna marafiki wenye majina makubwa sio kosa langu, pole sana mwanaume mzima kufuatilia maisha ya wanaume wengine na hapa mjini ni hatari sana mkuu, unaweza kuishia kufanyiwa mambo yasiyokuwa maana mwanaume unakuwa mmbeya na mdaku waachie mabebezz eti, hahahahahahahahhaha U know
\
- Haya ni maneno ya jikoni kina mama wanakuna nazi ndio huwa wanaongea haya ya udaku sasa na wewe mwanaume mzima inasikitisha sana U know hahahahahaha

le Mutuz

Ingekuwa kule insta ungemblock au sio le umri mkubwa akili zero

Huyu ni familia ya;

Makonda

Rizmoko

Diamondplatnumz

Mosha

.......

......
 
Sio kwenye siasa tu, hata kanisani na misikitini pia wengi ujisajili kwenye familia ya wachungajj na mashehe.
 
Mkuu samahani sijaelewa umeandika nin

Ingekuwa kule insta ungemblock au sio le umri mkubwa akili zero

Huyu ni familia ya;

Makonda

Rizmoko

Diamondplatnumz

Mosha

.......

......

- WEwe hangaika na umbeya humu Social Media sisi wenzako tunapiga pesa humu humu Social Media, hahahahahaha Mwanaume mzima unakuwa mmbeya mbeya na mdaku mdaku jihadhari maana usije kuvalishwa dira hahahahahaha

le Mutuz
 
Le mutuz kajisajili familia kibao ......ni familia ya makonda
Riz moko
Sitta
Majariwa
Makamba
Bila kusahau yeye mwenyewe Katoka Katika familia ilyokuwaga juu zamani

- Sasa hivi tunaajiri huku Swahili TV kama vipi lete maombi maana mtaani unageuka kuwa kama mbebezz U know hahahaha

le Mutuz
 
Naomba iletwe taarifa hapa.Ni lini nilijisajili kwa familia ya Mbowe? Huu upuuzi wa kuleta mambo ya ovyo una lengo la kushusha Credibility ya JF.

Mleta Mada leta Ushahidi wangu kwa matamshi ya Mdomo au Maandishi kuhusiana na hili.

Nisiingizwe kwenye kundi ulilotaja bila ushahidi.

Kwa nafasi yangu ni Executive Aide wa Mwenyekiti Taifa na Mshauri wake masuala ya Kisera .

Kwanini JF turuhusu watu kupotosha na kujiandikia andikia tu kama huyu mleta mada hapa juu?

Tena Mleta Mada badala ya Kumtaja Vincent Nyerere kwenye eneo alilomuweka Steven Nyerere,bado haoni kuwa kuna makosa.

Mtu asiye makini na mwenye hasira na Chuki tu.

Wengine sitawajibia.
We wakati unamsingizia Lowasa ufisadi ulikuwa unaona raha ee???
Ngoja nyumbu wenzio wakunyooshe sasa
 
Back
Top Bottom