Tabia mbaya sana hii

Tabia mbaya sana hii

charty.. kwani wanapongoka, nyie wa nje mnajuaje? vioo vinaachwa wazi?

wanangonokea kwenye foleni? au wanasababisha foleni? kama hapo, wapigwe mijeledi....

ila kama mtu kapaki gari hukooo then kafunga vioo tinted, kapata chake cha fasta, kwanza unajuaje kama kuna mtu anagegedwa ndani?

hebu tuwe wadadisi kwanza...
VERY EASY...
yellow-taxi-cab-animation.gif
 
Kula mzigo kwenye gari inanoga sana full mautamu wacha tu, mimi huwa napenda sana kutafuna kwenye gari tens inaweka baraka tupu ndani ya gari
 
Nikijitoa ufahamu labda itawezekana.

Nyie ndio huwa mnachapiwa, mmekariri kupiga show kukitanda tu.
bafuni,kwenye ngazi,makochi,korido mnaona dhambi.
Umeshawahi jaribu kukamatisha mtu boneti la gari?
 
hahahaaa!! Hiyo bado haipruv bana!! Bado kabisa!

Kwa hiyo kimahakama ama kisheria, utaelezaje?

hakuna sheria unakuwa umevunja...ni suala la kimaadili tu...labda kama ni gari la wazi inaweza kuwa ni public indescency..which i think is a misdemeanor
 
Kuna wanaume wana haka kamchezo kwa kufanyia ngono kwenye magari yao , hawa ni wachepukaji lakini ni ushenzi mtupu kufanyia hicho kitendo ndani ya gari yako !unaitia nuksi si vizuri mbona zipo gesti kibao tu ? za mpaka buku tano ?

Kwa hiyo kwenye gari si sawa ila wakichepuka kwenye nyumba za kulala wageni ni sawa?
 
Kuna wanaume wana haka kamchezo kwa kufanyia ngono kwenye magari yao , hawa ni wachepukaji lakini ni ushenzi mtupu kufanyia hicho kitendo ndani ya gari yako !unaitia nuksi si vizuri mbona zipo gesti kibao tu ? za mpaka buku tano ?

Na wewe mwanamke mchepushwaji unakubalije kuchanuliwa miguu kwenye siti ya gari unajidhalilisha mno.

you probably know nothing about wild and crazy sex.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom