Tabia mbaya sana hii

Tabia mbaya sana hii

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,354
Reaction score
829,577
Kuna wanaume wana haka kamchezo kwa kufanyia ngono kwenye magari yao , hawa ni wachepukaji lakini ni ushenzi mtupu kufanyia hicho kitendo ndani ya gari yako !unaitia nuksi si vizuri mbona zipo gesti kibao tu ? za mpaka buku tano ?

Na wewe mwanamke mchepushwaji unakubalije kuchanuliwa miguu kwenye siti ya gari unajidhalilisha mno.
 
mi naona poa tu ilhali watu wengine hawaboreki..

wewe gari langu, unajisogeza mpaka hatua ya kuchungulia ndani, tena vioo ni tinted, huo si upaparazi?

we unajuaje mtu ndani ya gari anangonoka kama hujaenda kuomba lifti na kumgongea?

aisee nikikubamba, unakula shaba ya uso.. ndo dawa yenu!!
 
si linatikisika?

kwa hiyo likitikisika tu hapo mnajua watu wanagegedana?

mbona kuna magari automatic tu yanaachwa na vibration, hapo watu mwajua kuna mwanamke ananyongewa ndani?

hata hivyo, its non of their business!! tuko mjini bana.. kila mtu afanye kilichomuamsha...!
 
mi naona poa tu ilhali watu wengine hawaboreki..

wewe gari langu, unajisogeza mpaka hatua ya kuchungulia ndani, tena vioo ni tinted, huo si upaparazi?

we unajuaje mtu ndani ya gari anangonoka kama hujaenda kuomba lifti na kumgongea?

aisee nikikubamba, unakula shaba ya uso.. ndo dawa yenu!!

mhh bestfriend..EXCEL cjategemea kama utasema hvi! Hata wewe jaman?
 
Kuna shosti wangu alinambia eti kwenye gari inanoga! Labda tusubiri na wengine waje kutoa ushuhuda.
 
Kuna wanaume wana haka kamchezo kwa kufanyia ngono kwenye magari yao , hawa ni wachepukaji lakini ni ushenzi mtupu kufanyia hicho kitendo ndani ya gari yako !unaitia nuksi si vizuri mbona zipo gesti kibao tu ??za mpaka buku tano ?
Na wewe mwanamke mchepushwaji unakubalije kuchanuliwa miguu kwenye siti ya gari unajidhalilisha mno

Kwanini kwenye gest iwe alali na kwenye gari ni nuksi? Au unaabudu magari? Mapenzi kokote kasoro ndani ya kanisa tu.Kwingineko kote wewe piga tu bora tu awe mkeo.
 
mhh bestfriend..EXCEL cjategemea kama utasema hvi! Hata wewe jaman?

charty.. kwani wanapongonoka, nyie wa nje mnajuaje? vioo vinaachwa wazi?

wanangonokea kwenye foleni? au wanasababisha foleni? kama hapo, wapigwe mijeledi....

ila kama mtu kapaki gari hukooo then kafunga vioo tinted, kapata chake cha fasta, kwanza unajuaje kama kuna mtu anagegedwa ndani?

hebu tuwe wadadisi kwanza...
 
Hapana bwana mapenz hayachagui sehemu unaweza kujikuta tu mmeyaanzia sehemu fulan na siyo kila cku kitandan tu na pia ni njia ya kudumisha penz kwa mwenzio unajikuta ukiyafurahi maeneo ya tofauti ukikumbuka tu unajikuta unafurahi sometimes watu hushindwa kujizuia hisia zao na kujikuta humu ndani ya gari kushawajibika, siyo kila cku kitandan badilisha maeneo, bafuni n.k
 
charty.. kwani wanapongoka, nyie wa nje mnajuaje? vioo vinaachwa wazi?

wanangonokea kwenye foleni? au wanasababisha foleni? kama hapo, wapigwe mijeledi....

ila kama mtu kapaki gari hukooo then kafunga vioo tinted, kapata chake cha fasta, kwanza unajuaje kama kuna mtu anagegedwa ndani?

hebu tuwe wadadisi kwanza...
Excel !!!!!hahahahaaaaa u made my day yaani na shaba juuu uuuuuwiiiii sipati picha unamaanisha ka trespass haki yako ya kungonoka ?qui qui qui quiiiiii....!!!
 
Mtazamo wangu ukifanyia kwenye gari ina imarisha ujana !!
Samahani lakini
 
Excel !!!!!hahahahaaaaa u made my day yaani na shaba juuu uuuuuwiiiii sipati picha unamaanisha ka trespass haki yako ya kungonoka ?qui qui qui quiiiiii....!!!

mkuu unajua kuna watu bongo hii hawana kazi kabisa...!

watu wana macho ya aje aisee...! hizo ni hisia za aina gani mpaka unajua gari ikitikisika tu, basi kuna mtu ananjunjwa ndani? loh!

basi liwekwe kwenye katiba mpya na hili! lolz!
 
Huyo katisha kwa kweli. Na alimpata au bado?

Mtoto wake ana miaka miwili sasa!!!
Wanasema ati kwenye gari kuna kautam flani hivi, sijui ni ile mikunjo wanayokunjana..
 
Si dhambi, na haiharibu kitu imradi isiwe mchana.
Waweza fika kwako mkiwa kwenye gari mkajiachia
 
Coco Beach ndiyo sehemu inayokera ukienda hasa weekend usiku!Jamaa sisi tuna watch movie pale karibu na bahari yy anazungumza na sisi huku anamgegeda demu wake!Tulipo sikia anaanza kuguna tukajua karibu anaachia mauji!Kumchungulia kakakamaa kweli kweli na demu anacheka!

Hamna kabisa utu Coco Beach usiku na siendi tena!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom