glory to yhwh
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 1,025
- 1,385
hongera..
Mkuu hii mada ni ya may 2014 it means 2 yrs zimeisha
Jap mi ndo naiona leo, labda tupate mrejesho kwa waliofanyia kazi
hongera..
kweli mkuu nimeifufua kutoka fb nilishasahau hii kitu 2014.. kwenye kupita post zangu huko fb ndio nimaona niiifufue hukuMkuu hii mada ni ya may 2014 it means 2 yrs zimeisha
Jap mi ndo naiona leo, labda tupate mrejesho kwa waliofanyia kazi