Ninawaza kuwa na issue ya muhimu nikasema ngoja nichungulie mwisho unakuta 1/2 saa imepita na una 15 minutes za kumaliza issueYes you can.
Ila uvute socks. Mimi kuna kipindi hata nikiwa katikati ya kazi nalog in ila siku hizi nimeweza kulikwepa hilo
Jaribu kutumia Web kama unatumia App. Maana Web inatia uzembe kidogo kuifunguaNinawaza kuwa na issue ya muhimu nikasema ngoja nichungulie mwisho unakuta 1/2 saa imepita na una 15 minutes za kumaliza issue
Hahahahah sasa si utakufa, utafanikiwaje sasaMimi nikiacha kula nitafanikiwa sana
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Vipi hiyo 30 iliyobaki ??Mi nikiacha kutumia hela kiholela, nitakuwa mbali sana
Natamani niweze kusevu walau 20% of my every income
Na nitumie 50% kwenye mahitaji
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
10% fungu la kumi au zakaVipi hiyo 30 iliyobaki ??
Pole roho ya huruma haipo tRNA dunia hii,Huruma
Nawamin ndugu zang ila watu wengine siwaamin pemben lazim niwe na miguu wa kukuKuamini ndugu na watu..
Naamini sana hawa watu..
Adui wa MendeleoPombe
Nikupatie attention basiNikiacha kuwa na mahusiano na mwanaume nitafanikiwa man Mara nying nampa attention lakn yeye hanip, nahis ningekuwa namilik Prado lang maan Nina ndoto ya kubwa na hilo gar,mwaume hawazi hata kufanya kitu kingine cha ziada kitakachomwingizia kipato anarizika na ajira aliyo Nayo sijui ni wa nchi gan,japo sijutiii nimepiga hatua tang eng wa kipare aniache kama alinifungua akili,