Maria Nyedetse
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 727
- 1,632
Unazungumza tu, usikute ofisini kwako una bosi mwanamke!!! Au umesahau Rais wa nchi Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ni mama....mwanaume aliye na familia yake awe na ubia wa kibishara au madili ya maana na mke wa mtu we ulisikia wapi Dada yangu?
🤔🤔🤔Hakuna mtu atakuelewa, watu tumekubuhu
Sikatai kwa Kazi za ofisini Ila habari za biashara /dili za mitikasi hakuna ubia wa maana Kati ya mwanamke na mwanaume la sivyo mtaishia kuliwa tumwanaume aliye na familia yake awe na ubia wa kibishara au madili ya maana na mke wa mtu we ulisikia wapi Dada yangu?
Jambo rahisi na lenye manufaa kwa mwanaume la kukutana na mwanamke na kupeana namba ni kumtongoza hayo mengine yanaweza yakafuata baadae, ni jambo gumu ukutane na mwanamke na muanzishe uhisiano wa kibiashara kwa sababu wanawake waliowengi watapenda jambo hilo liwe na manufaa zaidi kwake. Mwanaume ni rahisi zaidi kuwekeana ahadi za michongo ya kimaisha na mwanaume mwenzake lakini sio mwanamke.Salam Wanajamvi, natumai wote mko poa kabisa!
Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada. Mungu wetu Bwana wa Viumbe vyote ametuumba Jinsi mbili za ME na KE. Kuwa Me au Ke haina maana kuwa uko superior au less superior to the opposite sex, bali sote tunategemeana katika kuyaishi maisha haya mafupi katika Ulimwengu huu.
BINAFSI kuna TABIA moja inanikwaza sana kutoka kwa ndugu zetu hawa wa jinsi ya Me; ukikutana na mwanaume mathalan safari, kwenye majukumu ya kikazi au hafla za kijamii wengi watakuomba namba WHICH OFCOURSE IS NOT BAD lakini changamoto inakuja kwenye matumizi ya hiyo namba!!!
Asilimia kubwa ni kutongoza!!!! Jamani Kama ilivyo kwa wanaume wenzio mwanamke anaweza akawa mshirika katika biashara, kazi au madili mengine, sasa ukitanguliza NGONO utafunga MILANGO MINGINE ya kushirikiana kama wanajamii katika kuyaendesha maisha haya.
Baadhi ya wanaume huwa nashindwa kabisa kuwaelewa vichwa vyao vinawaza nini!!!!
Unakutana na mtu ana mahusiano au familia yake PLEASE HESHIMU PERSONAL LIFE YAKE NA KAMA HUNA CHOCHOTE UNAWEZA KUSHARE NAYE POSITIVE LET HER MOVE ON WITH HER STRUGGLE...
Usimrubuni mwanadada au binti wa watu ili ULETE UZI HAPA JF huku ukimwachia majonzi katika maisha yake!!!! Huna future na mtu au ana mahusiano yake msaidie kuyalinda na usiwe sababu ya kuvurugikiwa!!!!
Kuna wanaume wa kweli WACHACHE ambao anaweza kumsaidia MWANAMKE NA WALA ASIHITAJI NAMBA YA SIMU WALA SHUKRAN!!! Siyo wengine akipata nafasi ya kutoa huduma au msaada kwa mwanamke basi tayari ametengeneza NDOANA...
Wengi wa WANAUME HAPA WANALIA MAISHA MAGUMU HAYAELEWEKI, HONESTLY NADHANI PARTLY NI KWA SABABU YA MACHOZI MNAYOYASABABISHA KWA MABINTI ZA WATU!!!!
Jamani hii TABIA IMEKUWA SHIDA SANA KWENYE JAMII ZETU....
SureKama haupo tayari kutongozwa usitoe number hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke mwisho wa siku mtapigana miti tu
ExactlyJambo rahisi na lenye manufaa kwa mwanaume la kukutana na mwanamke na kupeana namba ni kumtongoza hayo mengine yanaweza yakafuata baadae, ni jambo gumu ukutane na mwanamke na muanzishe uhisiano wa kibiashara kwa sababu wanawake waliowengi watapenda jambo hilo liwe na manufaa zaidi kwake. Mwanaume ni rahisi zaidi kuwekeana ahadi za michongo ya kimaisha na mwanaume mwenzake lakini sio mwanamke.
Yaani ni ajabu sana,unipe namba yako mwanaume afu nikuangalie tu...aisee lazima tupigane miti...na kupigana miti ndo lishe tosha kaz utafanya kiufanisi kabisa ofisini au biasharaniKama haupo tayari kutongozwa usitoe number hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke mwisho wa siku mtapigana miti tu