Yaani kuna wanawake tunawatamani lakini kwa jinsi tu tunavoheahimiana na hasa wao heshima wanayotupa unaona kabisa pale naanzaje anzaje kumtongoza? Ila kuna hawa ambao mkionana baada ya mwezi mmoja tu umeshajua kuwa pale naenda na napewa jitumbua kiwepesi kbs na kweli inatokeaHiyo kweli anitake leo kesho kizinga nitamshangaa kweli [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
nae anamakosa yake huyo dada ,,,,not every problem need a money aisee smtmz si lazima yy ampe hela anaeza mpa ushaur utakaomsaidia kupata hela ili the othr day jamaa asibweteke kwamba akikosa hela akimbilie kwa mupenzi,,,,,wanawake mkiwa na hela mnajua kila kitu mmemaliza hlo nalo tatizoKwa nilichokiona mimi Mkuu huyo mleta uzi na huyo mpenzi wake hata hiyo level ya kusema wanakaa wakazungumza nini cha kufanya baada ya mwanaume wake kukwama hawajafikia na ndio sababu mdada ameshangaa na huo mshangao ndio umemfanya kuja kuanzisha mpaka uzi.
Na ingekuwa hivyo kwamba walikaa na kuelewana sidhani kama angeleta uzi kama huu Mkuu sababu wangekuwa kila mmoja ameridhia alichokifanya.
Pia Twende mbele na nyuma Mkuu tabia zinaenda na kubadilika huenda ikawa huyo mwanaume kapata mdada anayejiweza basi kaona ndio pa kumaliza shida zake kwa mikopo isiyo na marejesho.
Kifupi ni kwamba huyo me kamrahisi sana ke na sababu ni the way ke anajiweka mbele ya me( ambayo kwangu mimi nachukulia kama kamdharau vile) mwanaume mnayeheshimiana hawezi kukuomba omba hela kijinga jinga kiasi cha kukufanya ukwazike hadi kumuanzishia uzi social media amini nakwambiaKwa nilichokiona mimi Mkuu huyo mleta uzi na huyo mpenzi wake hata hiyo level ya kusema wanakaa wakazungumza nini cha kufanya baada ya mwanaume wake kukwama hawajafikia na ndio sababu mdada ameshangaa na huo mshangao ndio umemfanya kuja kuanzisha mpaka uzi.
Na ingekuwa hivyo kwamba walikaa na kuelewana sidhani kama angeleta uzi kama huu Mkuu sababu wangekuwa kila mmoja ameridhia alichokifanya.
Pia Twende mbele na nyuma Mkuu tabia zinaenda na kubadilika huenda ikawa huyo mwanaume kapata mdada anayejiweza basi kaona ndio pa kumaliza shida zake kwa mikopo isiyo na marejesho.
Hahahaaa. Makosa kusema anadai chake Mkuu?nae anamakosa yake huyo dada ,,,,not every problem need a money aisee smtmz si lazima yy ampe hela anaeza mpa ushaur utakaomsaidia kupata hela ili the othr day jamaa asibweteke kwamba akikosa hela akimbilie kwa mupenzi,,,,,wanawake mkiwa na hela mnajua kila kitu mmemaliza hlo nalo tatizo
Nitakukuta tu kwasababu najua nitakushinda pumzi hahahhhahahahHahahaaaa. Lol.
Ngoja niongeze mbio rafiki. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sema wewe rafiki. Na ndio ukweli huo. Huyo Ke Yangemfaa wala asingekuja huku.Kifupi ni kwamba huyo me kamrahisi sana ke na sababu ni the way ke anajiweka mbele ya me( ambayo kwangu mimi nachukulia kama kamdharau vile) mwanaume mnayeheshimiana hawezi kukuomba omba hela kijinga jinga kiasi cha kukufanya ukwazike hadi kumuanzishia uzi social media amini nakwambia
Thubutuuuuuuuuuuu hahahahahaaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unaomba hivyo hivyo huku kengele zinaning'inia eeeeeeeh
Hahahaaa. Na kweli aiseee pumzi ni sheeder.Nitakukuta tu kwasababu najua nitakushinda pumzi hahahhhahahah
Kweli kbs, hawa watoto wenu wa siku hizi hawafundishwi hata stadi za maisha wapo wapo tu hawajielewi ,hawajui kuhangaika maisha sio lele mama. Mtoto anahitimu darasa la 7 hajui hata kufua nguo zake, hakuna kazi anayoiweza zaidi ya kukaa kuangalia bongo muvi ni janga kubwa sanasamaki mkunje angali mbichi
Uruke hata kamba tu hahhaaaaaaHahahaaa. Na kweli aiseee pumzi ni sheeder.
hujanielewa dada,,,, what i mean ni kwamba binti huyo alikosea sanaa,,,mwanaume anapokuja kukuomba hela si lazima umpe hela ila mshauri ni nini afanye ili atatue tatzo lake ,,,,,,atoe jasho kwanza na aone kwel kwamba ushaur wake umefanya kazi,,,,,narudia tena hata si kila anapoenda kulia shida ya hela alitakiwa kumpatia hela ,,,sehem zingne unaeza kuta zilihitaj ushaur wake tu,,,sasa binti alijionyesha na hela kila muda jamaa akili shida anapewa hela why mazoea yashindwe kujenga tabia hapo???Hahahaaa. Makosa kusema anadai chake Mkuu?
Hilo la ushauri nadhani ndio bira zaidi kuliko kutia pesa hovyo hovyo.
Halafu siku hizi wanaume hawana aibu yaani mtu anakufuata na anajua unamme kabisa akisha kuzoea tu utasikia naomba uninulie kitu flani mie huchoka kabis, nimetoka na mambo yangu huko eti naomba hela kina baba fundisheni watoto jamani huku mtaani aibuThubutuuuuuuuuuuu hahahahahaaaaaaa
Yaani ni hatari sana Hajar, nimetazama kile kipindi hadi nikawa natetemeka mambo ya ajabu sana yanafanyika duniani hapa. Yaani dume kbs linang'olewa kende zake linawekewa tupu linakuwa jike aseeeeeeeeee kuwa na hela napo kama kunapumbaza vile sijui!!?Hatari sana rafiki hasa huko tunakoelekea aisee.
lakini ameshakutia?Kwakweli amenibore mno tena namkimbia kabisa
Ooh. Nimekuelewa sasa ndugu.hujanielewa dada,,,, what i mean ni kwamba binti huyo alikosea sanaa,,,mwanaume anapokuja kukuomba hela si lazima umpe hela ila mshauri ni nini afanye ili atatue tatzo lake ,,,,,,atoe jasho kwanza na aone kwel kwamba ushaur wake umefanya kazi,,,,,narudia tena hata si kila anapoenda kulia shida ya hela alitakiwa kumpatia hela ,,,sehem zingne unaeza kuta zilihitaj ushaur wake tu,,,sasa binti alijionyesha na hela kila muda jamaa akili shida anapewa hela why mazoea yashindwe kujenga tabia hapo???
Hahahaaaa. Na kupenda vya kupewa pia.Yaani ni hatari sana Hajar, nimetazama kile kipindi hadi nikawa natetemeka mambo ya ajabu sana yanafanyika duniani hapa. Yaani dume kbs linang'olewa kende zake linawekewa tupu linakuwa jike aseeeeeeeeee kuwa na hela napo kama kunapumbaza vile sijui!!?
Jukumu la malezi kisingi kbs kwa sisi wakati tunakua ilikuwa ni la baba na mama na muda mwingi tulikuwa na mama kwasababu baba anaondoka asubuhi anakwenda kutafuta anarudi jioni/ usiku yupo hoi. Siku hizi baba yupo kazini na mama yupo kazini, watoto wanabaki na mfanyakazi wa nyumbani ambaye maskini ya Mungu hata shule hakusoma hivyo ni kama wanajilea wenyeweHalafu siku hizi wanaume hawana aibu yaani mtu anakufuata na anajua unamme kabisa akisha kuzoea tu utasikia naomba uninulie kitu flani mie huchoka kabis, nimetoka na mambo yangu huko eti naomba hela kina baba fundisheni watoto jamani huku mtaani aibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]lakini ameshakutia?