Tabia gani za watu zinakukera?

Tabia gani za watu zinakukera?

Old Moshi

Senior Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
118
Reaction score
32
Sipendi tabia ya mtu kusikiliza mziki au radio kyenye simu in public huku ameweka loudspeaker. Hua najiuliza, hivi hawajui matumizi ya earphones au wanadhani kila mtu anapenda kusikiliza izo nyimbo. Alafu unakuta simu yenyewe ni mchina, full kelele.
 
Tatizo la kulala mchana ndio hilo, mtu unakurupuka tu bila hata kuswaki mdomo unatoa harufu hlf unakuja kupost ush..z. hapa JF kana kwamba wote tuna akili sawa na wewe.
 
kinachonikera mimi co lazima kikukere wewe@wakusoma
 
Tatizo la kulala mchana ndio hilo, mtu unakurupuka tu bila hata kuswaki mdomo unatoa harufu hlf unakuja kupost ush..z. hapa JF kana kwamba wote tuna akili sawa na wewe.

Jamaa kauliza swali uamuzi wa kujibu/kutojibu ni wako. So kama umeona ameandika ujinga usingejibu we ndio umeonekana punga
 
Kupiga chafya au kukohoa bila kuziba mdomo....
 
Sipendi tabia ya kuchukia/kubagua watu kwa misingi ya dini,kabila,rangi,kipato etc.
 
Tatizo la kulala mchana ndio hilo, mtu unakurupuka tu bila hata kuswaki mdomo unatoa harufu hlf unakuja kupost ush..z. hapa JF kana kwamba wote tuna akili sawa na wewe.

excellent is back,do you know that?
 
Wananiudhi wanaoo ngeaga na cmhuku eameweka loudspeaker tena unakuta jitu lipo hadharani! Sjui ushamba au?
 
kinachonikera ni kitendo cha mtu kurukia mada asiyoielewa..
 
Tatizo la kulala mchana ndio hilo, mtu unakurupuka tu bila hata kuswaki mdomo unatoa harufu hlf unakuja kupost ush..z. hapa JF kana kwamba wote tuna akili sawa na wewe.

Hii ndio taabu yako kama limekugusa hilo kajirekebishe. Sipendi watu wanao ongelea inshu zao za nyumbani kwenye public
 
Me cpend watu wanaopiga story ama kuchat wakat wa ibada,au mpo faragha ye yupo biz na cm af we unaongea tu ka toy la matangazo!
 
kinacho nikera mm n m2 kuazma cm ya mwnzke na kuanza kusoma msg zsizo muhus.
 
Sifagilii watu wanaoongea sifa za kijinga,oh yule demu nishamlamba,oh yule demu ananitaka,oh mie handsome oh bra bra!!!!
 
Back
Top Bottom