Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Nakerwa na watu wanaobip na namba ambayo wanajua ni ngeni kwangu,mbaya zaidi mtu anabip bila break alafu ukimpigia hana la maana!kingine ni harufu kali ya soksi za baadhi ya wananume ya ni asubuhi ndan ya daladala mtu hata hajavua kiatu ila hiyo harufu ni balaa cjui akivua inakuaje!