Tabia chafu ya TBC

leo muda wa saa 5 kasoro 10,chanel ya TBC1,wamekata matangazo maksudi ili tusione hotuba ya mh.zitto kabwe na hili jambo linatokea mara kwa mara.mnaonaje kuhusu hili?ni nani anahusika kukata matangazo ya bungeni?na hii sio mara ya kwanza ,hata juzi kati siku anaapishwa Joshua nassari walizuia sauti ili tusisikie alivyokuwa akishangiliwa.jamani wanaJF,tufanyeje kuhusu hili?hii TBC si ya kodi zetu?
mnakumbuka siku cdm walipofanya mkutano mkubwa sana Arusha (zaidi ya watu 7,000) kueleza kwamba watakata rufaa ya hukumu ya Lema? kuna mtu aliona hiyo habari TBC?
 
Mimi naangalia TBC chanel 143 kupitia DSTV na hamna saa matangazo yamekatika. Labda tatizo litkuwa la antena yako au king'amuz chako

Acha uzushi mi nipo pia DSTV na matangazo yalikatika masaa hayo labda kama wewe umefungua baadae baada ya matangazo kukatika. Ni tabia ya hao TBC maana tunawajua, mbona wakati wa kampeni pale jangwani kabla Dr. Slaa hajaanza kuhutubia Marine alilikoroga hadi akapigwa kichapo ndo matangazo yakawa hewani tena? Kifupi TBC inatumia pesa za kodi zetu lakini inahudumia mfumo dhaifu na hafifu wa utawala katika nchi yetu. Wengi wa watangazaji wanatoka hapo jirani na Makumbusho kujiita ni usalama. Kuna baadhi wa watangazaji hata kipindi cha kutoka magazetini wanafunika sehemu inayoonesha kuikosoa serikali. Wakati mwingine waligoma kabisa kusoma hata vichwa vya magazeti kama ya raia mwema na mwana halisi. Ni tabia yao chafu ni afadhali wajulikane kama radio uhuru tu.
 
Magamba walimuondoa tido baada ya kuona amekuja na viwango vya bbc,wakatukea jamaa anaitwa mshana,huyu ni tutusa hana lolote,anatete unga,lkn aangalie cku inakuja atalia na kusaga meno
 
Mie binafsi naona tangu alipoondoka uncle TIDO hamna jambo lolote linalofanana na TBC kuwa tv ya taifa inazidiwa na vituo vingine vya televisheni hapa tz kufanya yanayotakiwa kufanywa na TBC.
 
Acha uzushi mi nipo pia DSTV na matangazo yalikatika masaa hayo labda kama wewe umefungua baadae baada ya matangazo kukatika. Ni tabia ya hao TBC maana tunawajua, mbona wakati wa kampeni pale jangwani kabla Dr. Slaa hajaanza kuhutubia Marine alilikoroga hadi akapigwa kichapo ndo matangazo yakawa hewani tena? Kifupi TBC inatumia pesa za kodi zetu lakini inahudumia mfumo dhaifu na hafifu wa utawala katika nchi yetu. Wengi wa watangazaji wanatoka hapo jirani na Makumbusho kujiita ni usalama. Kuna baadhi wa watangazaji hata kipindi cha kutoka magazetini wanafunika sehemu inayoonesha kuikosoa serikali. Wakati mwingine waligoma kabisa kusoma hata vichwa vya magazeti kama ya raia mwema na mwana halisi. Ni tabia yao chafu ni afadhali wajulikane kama radio uhuru tu.
Labda hiyo decorder yako ina gono..! Wenye DSTV tumemsikia Zito na kumuona clearly!

Hayo mambo ya Jangwani ni historia sasa..stick on current issues!
 
leo muda wa saa 5 kasoro 10,chanel ya TBC1,wamekata matangazo maksudi ili tusione hotuba ya mh.zitto kabwe na hili jambo linatokea mara kwa mara.mnaonaje kuhusu hili?ni nani anahusika kukata matangazo ya bungeni?na hii sio mara ya kwanza ,hata juzi kati siku anaapishwa Joshua nassari walizuia sauti ili tusisikie alivyokuwa akishangiliwa.jamani wanaJF,tufanyeje kuhusu hili?hii TBC si ya kodi zetu?

Hawa wamezoea. Nakumbuka mwaka 2010, wakati wa kampeni za urais, Mh. Slaa na Mabre Marando walipokuwa wanahutubia laivu pale viwanza vya Jangwani, aliekuwa Mkurugenzi wa TBC1, ndg, Dastan Tido Mhando, alikata kata hotuba zao, ili wasisikike na Watanzania...lakini hayo yote yana mwisho..Tido Mhando hata hivyo pamoja na kuwatumikia hao mabwana zake wa CCM, bado walimtupa nje ya ulingo na sasa yuko kama mimi tu hana kazi. Wee waache tu siku zao zinahesabika.
 
Ni kweli hakuna muda matangazo yalikatika. No research no right to speak !!!! Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Na inavyosemekana tbc hawana uwezo na udhibiti wa sauti inayotoka bungeni sauti hiyo inapitia kwanza kwenye mitambo ya bunge. Tujadili hoja zenye mashiko !!
mimi naangalia tbc chanel 143 kupitia dstv na hamna saa matangazo yamekatika. Labda tatizo litkuwa la antena yako au king'amuz chako
 
Me ni mwanachama wa chadema damu lakini pia me nimeangalia kupitia Dstv nimeona haduma ya mh Zitto hadi mwisho wake,wanao tumia star times ina matatizo picha zao huwa zinapotea hewani tu ghafla inasema No signal
 
hotuba
 
leo muda wa saa 5 kasoro 10,chanel ya TBC1,wamekata matangazo maksudi ili tusione hotuba ya mh.zitto kabwe na hili jambo linatokea mara kwa mara.mnaonaje kuhusu hili?ni nani anahusika kukata matangazo ya bungeni?na hii sio mara ya kwanza ,hata juzi kati siku anaapishwa Joshua nassari walizuia sauti ili tusisikie alivyokuwa akishangiliwa.jamani wanaJF,tufanyeje kuhusu hili?hii TBC si ya kodi zetu?

nilisoma gazet fulan silikumbuk,walisema zile mic zilizmwa na mafund mitambo wa bunge,riz0n ni kutokuwepo kwa masikilizano
 
Jamani ni mwezi na wiki moja mwanza hutupati tbc taifa jamanii ,tunamkumbuka tido mhandoo kwa kweli,tunakuomba wenje wetu utusaidie . . . . . . . Toka mwanza iwe chadema wanatuonea sana,kuanzia tanesco
 
Back
Top Bottom