Tabia chafu ya TBC

Tabia chafu ya TBC

Kweli nimeamini upo kazini!hata hili hutaki kukubali?
Kupitia ving'amuz matangazo hayajakatika...teknolojia unayotumia kuyaangalia matangazo ya tbc ndio imekuangusaha, but TBC wenyewe hawana matatizo kabisa
 
Mimi naangalia TBC chanel 143 kupitia DSTV na hamna saa matangazo yamekatika. Labda tatizo litkuwa la antena yako au king'amuz chako

Mimi naangalia TBC kwa kutumia antena. Nimemsikiliza Zitto mwanzo hadi mwisho bila interruption yoyote.
 
tatizo lipo kwenye king'amuzi cha startimes wakuu....sehemu zingine wanapatikana bila chenga.....
 
leo muda wa saa 5 kasoro 10,chanel ya TBC1,wamekata matangazo maksudi ili tusione hotuba ya mh.zitto kabwe na hili jambo linatokea mara kwa mara.mnaonaje kuhusu hili?ni nani anahusika kukata matangazo ya bungeni?na hii sio mara ya kwanza ,hata juzi kati siku anaapishwa Joshua nassari walizuia sauti ili tusisikie alivyokuwa akishangiliwa.jamani wanaJF,tufanyeje kuhusu hili?hii TBC si ya kodi zetu?

mbona mi nimeona hatuba mwanzo mwisho?
 
Mimi sijaona tatizo la TBC toka muda bunge limeanza leo na Mh. Zitto kaongea vizuri ila nakumbuka dada mmoja mreeeeeembo alivaa kama batiki, yani nywele kaweka kama ninavyopenda nataman arudie tena na jina lake silijui aliongelea sana uchumi yule dada nikajikadiria ananifaa sana sijui Zitto na Mnyika and Nassari wamemuona?
Jaman hivi anaitwa nani yule dada nahisi kama wa viti maalum

Mic yake ilisumbua sana lakini mama Makinda akamwambia "Can you move to the next mic"

Aaaah
 
Mi natumia tv ya asili niliopewa na maji marefu. Matangazo hayakatiki ng'o.
 
Mimi sijaona tatizo la TBC toka muda bunge limeanza leo na Mh. Zitto kaongea vizuri ila nakumbuka dada mmoja mreeeeeembo alivaa kama batiki, yani nywele kaweka kama ninavyopenda nataman arudie tena na jina lake silijui aliongelea sana uchumi yule dada nikajikadiria ananifaa sana sijui Zitto na Mnyika and Nassari wamemuona?
Jaman hivi anaitwa nani yule dada nahisi kama wa viti maalum

Mic yake ilisumbua sana lakini mama Makinda akamwambia "Can you move to the next mic"

Aaaah

womanazer
 
Na mm naangalia kote ch 123 na kwa dish haijakatika inawezekana ni source yako
 
Tatizo tunapenda sana kulalamika,kukatika mawasiliano kuna sababu nyingi zipo za kiufundi pia,ukweli leo sijaona tatizo la kukatika mawasiliano,zitto kaongea hadi kamaliza,acheni kulalamika bila uchunguzi
 
leo muda wa saa 5 kasoro 10,chanel ya TBC1,wamekata matangazo maksudi ili tusione hotuba ya mh.zitto kabwe na hili jambo linatokea mara kwa mara.mnaonaje kuhusu hili?ni naniu anahusika kukata matangazo ya bungeni?na hii sio mara ya kwanza ,hata juzi kati siku anaapishwa Joshua nassari walizuia sauti ili tusisikie alivyokuwa akishangiliwa.jamani wanaJF,tufanyeje kuhusu hili?hii TBC si ya kodi zetu?

Kwahiyo ulitaka TBC wakununulie antena nzuri na bora,acheni kulalamika bila tafiti,bunge toka limeanza hakuna tatizo
 
siku CDM walipfanya mkutano mkubwa sana Arusha na kuelezea kwamba watakata rufaa ya hukumu ya Lema mnakumbuka? hiyo habari mliiona TBC?
 
Mimi wiki sipati tbc kupitia dstv haionekani. Naipata kwa antenna ya kawaida. Ila nakubaliana na hoja kuwa program zake zimeshuka hadhi na ziko kisiasa kweli!
 
Mimi naangalia TBC chanel 143 kupitia DSTV na hamna saa matangazo yamekatika. Labda tatizo litkuwa la antena yako au king'amuz chako

Bila shaka wewe ni Gamba. Shame on u
 
Bado kitambo wenye tz tupo kazini kila kitu kitakuwa shwari acha waendelee kutumia njia mbalimbali...tutakomaa nao mpaka kieleweke..........ndio maana walimwondoa tido kwani hakuwa tayari kufanya upumbavu km huo
 
Nilikuwa najaribu majibizano ya hii mada! Sory kama ntakuwa nimekosea
Mim naona haya yote ya huu ulimwengu wa dijitali ni kutaka kutufcha kitakacho kuwa kinaendelea sehem fulan!
Maana inaonekana kama waliopo kweny digitali(ving'amuz) ndo wanafaid kuliko wale wenye antena za vidole vwili \/.
Swal ni je! Watz wangap wanaweza kununua au kumilik vng'amuz au ma dish? Tena kwa wanaharakat wa mlo m1 kwa siku kutokana na dhamb za serikali kwa ubadhilif wa fedha za umma, tena hawachukuliw hatua wanangia kitaa na kuendelea kula mafao ya kod zetu
 
Back
Top Bottom