Tabia 7 za mwanamke zinazoshangaza

naona umeamua kutudhlilisha nitongoze mie uone........kamahuna hela lala mbele hiyo K yenyewe kusafisha na kuivalisha chupi nzuri kunaitaji pesa.
 
Akijikanyaga akaingia kwa mwanaume chokambaya kila mara anabaki kuwasifia anao waona kwenye tv na filamu, ukiona hivyo jua imekula kwako, anza kutafuta wa saizi yako.
 
Amaa kweli wanatamani wenye Range wakati baba zao hawana hata baiskeli,kwanini wasiwe wapole kama mama zao? Penda unapopendwa,shika uliposhhikwa la sivyo vilio vya kutumiwa na kutoswa havitoisha
 
4.
Hataki uwe na nyumba ndogo ila
ukimsogelea usiku kama haumwi na kichwa
basi ni tumbo au kuchoka au subiri mtoto
alale ili mradi tu akuache frustrated.
I HATE WOMEN


MHH KWA HAPA NDIYO UMEUA MAZIMA JAMANI!!!!!!!!!
 
mimi mke wangu ndo huwa ananitoa na toka enzi za kutongoza kwangu nimekuwa nikitolewa mimi fulu mijizawadi! Kwahiyo hapa nani mwenye tabia yako hii..................... Nisaidie ili kama sina uwezo nikaibe nipate cha kuweka kwenye wallet!
 



kazi kwelikweli, yangu kusoma na kufuatilia maoni ya wachangiaji wa mada husika tu bhass!!.
 


MAONI YAKO YOTE NIMEYAPENDA KWA KIASI FULANI, ILA MSITALI HUU HAPA CHINI NIMEUPENDA ZAIDI COZ KILICHOSEMA KIKO REALISTIC MAZIMA, MSTALI WENYEWE NDIYO HUU HAPA:-

"siku hizi wanadamu wamekaa kimaslai si wanawake si wanaume."
 
tabia nyingine ya mwanamke ni kujidai anakula hotelini lakini ukienda naye hotelini hata umma hajui kushika--amezoea kula kwa mikono kwa mama muuza.
 

man wewe ni genious
 

hahahah umewapata kweli kweli. mie nashangaa demu anasema eti nataka man mwenye pesa sasa kwani kuna mwanaume anataka mwanamke asiyekuwa na hela....eti mie nitengenezwe na wazazi wangu ili ukuje kula raha wewe kisha kibubu chako cha utamu...loh!
 
Kwa uzoefu,wanawake ni headache japo naona wanajitutumua kujitetea ila vichwa vyao vinapenda kuwaza vya kusadikika.
Japo wanaume nasi ni pasua kichwa ila kinamana ni fumua kichwa kwani duh!
 
nathani hiyo tafiti iliyofanyika inalenga zaidi wadada wa miaka 10 iliyopita coz wadada wa sasa hivi walio wengi wanapenda kusoma ili waolewe wakiwa na kazi zao au hata kujiajiri katika shughuli mbalimbali ili tu asimtegemee mwanaume
 
nathani hiyo tafiti iliyofanyika inalenga zaidi wadada wa miaka 10 iliyopita coz wadada wa sasa hivi walio wengi wanapenda kusoma ili waolewe wakiwa na kazi zao au hata kujiajiri katika shughuli mbalimbali ili tu asimtegemee mwanaume

Wenye mawazo kama hayo ni 2:80
 
naunga mkono hoja na kwa tabia hizi wife material majanga ndo maana wengine wanachezewa tu!

Huwa hawachezewi kwa sababu kama kiuno anakata mwenyewe afu baada ya shoo anatoa big up za kutosha kwamba mechi ilifana na magoli kibao yalifungwa.
 
Jamani yeye kaamua kuzungumzia wanawake na tabia zao,wala hakutaka malumbano na mahojiano mengi<ameomba tuu muongezee tabia nyingine zinazowakera walizonazo wanawake,kama wewe unataka kuzungumzia wa kiume,post thread mpya!!
 

8.Kwenye mahusiano wanalalamika sana husipomcare wakat wao hawajui kucare

9.Huwa wanalalamika sana nakuona unawaonea hata kama upo right
 
Haya yote yanampata mwanaume asiyejitambua , kama wewe upo grad fulani basi utampata wa grade yako ukiona umepata kimeo jua nawe ndio kimeo namba moja....
Kama wewe ni msomi na uko smart utadondokaje kwa demu choka mbaya anayevaa gauni la mafungu k/koo?

Wakatimwingine chujeni mada zenu kabla yakuweka sio mtu unakurupuka na mada mladi uponde mademu sio issue....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…