tabata vituo vya mafuta mh

tabata vituo vya mafuta mh

kisasangwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
292
Reaction score
56
Just heard kua Tabata kuna bonge ya varangati. Vijana hawataki longolongo wameziba njia na kuvamia vituo.

Wameanza Tabata relini kituo cha mafuta cha meru, then oil com na walikua wanakiendea BP.

Mh nahisi hadi kufika jioni watakua wamefika kibaha:drama:
 
Back
Top Bottom