Tabata inaongoza kwa maambukizi wilaya ya ilala!!

Tabata inaongoza kwa maambukizi wilaya ya ilala!!

Ifintu vyapalanganika mwalafyale ndinikigane Tabata

tabata jamani ila hawa watu wapo sehemu zote hususan maeneo ya kinondoni wake kwa waume wapo kwa ajiri ya jusambaza virusi.
Anajua yeye kaoza anaona raha na wewe ukioza sasa hajui na wewe kijana umeoza unamvizia mwanae nae unamuozesha akitahamaki hadi anakufa yeye ukoo wake usha ungua nao..
 
stare tunazipenda lakini mwisho wake mbaya,na wengi wametekea kwa kuendekeza umalaya....!
 
Mimi napita juu kwa juu.. lakini .........Wataalamu wa maswala ya Ngono na Madanguro wataingia ... kufafanua hizo statistics ... inakuwaje madanguro mengi yako kwingine na ukimwi unaonekana sana sehemu nyingine...

mkuu kwa hiyo wewe kwa mtazamo wako ukimwi uko kwenye madanguro tu??? ... Hata Serena na Hyatt Regence upo....
Haijalishi mahali wala wahusika..lolz
 
HIV is real meeen, ooohh maaamaaaa tutumieni ng'ala(condom) tusijekufa kizembe na kubugi meeen.... ARV sio za kuombea bandugu ni kama unaishi utumwani vile. Imagine kila siku asubuhi na jioni wewe ni kidonge hata na menu inabadilika kabisa coz kidonge bila menu nzuri unajimaliza. Chonde chonde ukweli ukimwi sio wa kuombea ndugu zangu. Sisemi hivi kunyanyapaa ila kama hujaathirika jikinge usipate maambukizi, na aliyeathirika pia asiusambaze kwa wengine jamani.
 
nimepata taarifa kua, takwimu zinaonesha kua Tabata inaongoza kwa maambukizi ya Ukimwi kwa wilaya ya ilala na takwimu hizi zipo kwa mganga mkuu wa wilaya ya Ilala kwenye ofisi yake, Hospital ya Amana

mkuu ingekua vyema kama ungekuja na statistical data angalau in percentage.. inawezekana inaongoza kwa kiwango kidogo au kikubwa..
 
Hii habari nikutoka kwa Dr.. Na ieleweke kua Tabata inaongoza kwa Wilaya ya Ilala.. Please understand ILALA... Kuna anae ongoza Kinondoni Dr mkuu wa kinondoni pale mwanayamala Hospital atakua na jibu lake.. Na pia Temeke Hospital kutakua na anaeongoza wa Wilaya hio...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom