Tabasamu na Furaha: Picha Ya Wiki Ya Rais Samia na Mama Janeth Magufuli katika Uzinduzi wa Daraja la Kigongo Busisi

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,357
Reaction score
23,760
Ndugu zangu Watanzania,

Hii ni picha ya wiki kati ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan pamoja na Mama Janeth Magufuli Mke wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Awamu ya Tano Wa Tanzania.

Ni picha iliyojaa nyuso za tabasamu na furaha kubwa sana
. Ni picha yenye kuonyesha upendo na umoja. Picha yenye kuonyesha Ukarimu na upendo alionao Rais wetu,picha yenye kuonyesha unyenyekevu uliojaa katika kifua cha Rais wetu,picha yenye kuonyesha namna Mama yetu Mpendwa na Rais wetu kipenzi asivyo na Makuu wala majivuno wala kiburi. Ni mtu wa watu ,kiongozi wa wote ,Mama wa Taifa.

Ni picha iliyovutia hisia za wengi, ni picha iliyoteka mioyo ya watu,ni picha iliyogusa watu,ni picha iliyowafurahisha sana watanzania. Ni picha bora ya wiki hii.
Screenshot_20250620-073628_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hii ni picha ya wiki kati ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan pamoja na Mama Janeth Magufuli Mke wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Awamu ya Tano Wa Tanzania.

Ni picha iliyojaa nyuso za tabasamu na furaha kubwa sana
. Ni picha yenye kuonyesha upendo na umoja. Picha yenye kuonyesha Ukarimu na upendo alionao Rais wetu,picha yenye kuonyesha unyenyekevu uliojaa katika kifua cha Rais wetu,picha yenye kuonyesha namna Mama yetu Mpendwa na Rais wetu kipenzi asivyo na Makuu wala majivuno wala kiburi. Ni mtu wa watu ,kiongozi wa wote ,Mama wa Taifa.

Ni picha iliyovutia hisia za wengi, ni picha iliyoteka mioyo ya watu,ni picha iliyogusa watu,ni picha iliyowafurahisha sana watanzania. Ni picha bora ya wiki hii.View attachment 3376514

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Na za hivi pia uwe unapost. Hao pia ni watanzania ndani ya serikali ya huyo mama unayemsifia kila kukicha.
 
Attachments

  • Screenshot_20250619_205609.jpg
    Screenshot_20250619_205609.jpg
    342.3 KB · Views: 30
Back
Top Bottom