🤣🤣🤣 Hapana, mimi nimeshawahi kuona sura ya mbuzi tuMdogo ukiwa na maana ?
Basi nakushauri saivi utabasamu
Maana huko ukubwani unakoelekea kuna wakati utajilazimisha kucheka uongo umewahi kuona tabasamu la mbuzi😅
umenichekesha babu😂😂😂 kwako nipoga real bwana we mwenyew unajuaMjukuu wangu Nina mashaka na tabasamu lako kwangu
Exactly 💯Wengine hapa, tabasamu mdomoni, maumivu moyoni.
Sawa sawa kijanaCha msingi hakuna haja ya kuonyesha maumivu kwa mtu ambaye unaona hawezi kukusaidia.
Mpokee bwana kua mwokozi wa maisha yako 😅Una njaa, badala mtu akupe chakula anaanza kukupa mahubiri 🗑️
🤣😂🤣 sawa mjukuu wanguumenichekesha babu😂😂😂 kwako nipoga real bwana we mwenyew unajua
Umeongea ukweli kwenye minuno huwezi ku fake 😎fake smile ninayo kwa wateja tu, huku kwingine nikikwazika nanuna na nikiwa na furaha pia sifichi tabasam langu mwanana🙂😊
Tabasamu upate furaha😊Boss mkubwa kakosea namba kanipigia mimi alafu anasema shikamoo baba nikaitikia ndiyo akagundua ni mimi akakata simu
Nikajikuta nacheka na kutabasamu na siku yangu iko vizuri mno lile lijamaa kunipa mimi shikamoo najiona mwamba sana aisee
kabisa yani tena nikiwa na hasira ndo siwezi kuonesha hata jino la mbele😆Umeongea ukweli kwenye minuno huwezi ku fake 😎
Sasa usipotabasamu mapema huko ukubwani utatoa tabasamu kama la mbuzi lenyewe hua kama mix by yas🤣🤣🤣 Hapana, mimi nimeshawahi kuona sura ya mbuzi tu
Jesus Fumba macho tuombekabisa yani tena nikiwa na hasira ndo siwezi kuonesha hata jino la mbele😆
Kinyonge sana,, nitajitahidi kutabasamu hivyo hivyo 😊 😃Ndiyo, si kila tabasamu lina maana ya furaha but usiache kutabasamu bro 😊
Hivyo hivyo kinyonge lakini ukinogewa hutaacha kutabasamu niamini mimi☺️Kinyonge sana,, nitajitahidi kutabasamu hivyo hivyo 😊 😃
Inasemekana watu wanaotabasamu wakati wa hasira hua watu wabaya sana wanaweza kufanya matukio ya kutishaMim natabasam tatu
- fake ninapokuwa na wateja. Au nina mawazo naficha nisiwaboe wenzangu
-la ukwel nikiwa peke angu haswa jion hupenda kuzurula mliman na kamera yangu nikipga picha jua linazama na mazingira ya pemben ya mji, huwa najiskia aman na kushukuru kuwepo dunian.
- tabasam la kukasilika. Mtu akinikosea au kunidanganya najikuta natabasam.
Anaweza asijue nafkilia nin.
Na hii hata adui akikukwaza afu unatabasam, itamtesa akilin
Hii ni nzuriTabasamu ni njia ya kuelezea hisia zako (furaha) hasa ikitokea umeguswa na jambo fulani ambalo litaukonga moyo wako
Hii ndio fake smile 😃Kuna baadhi ya watu, anaweza kuonesha tabasamu hata akiwa kwenye nyakati ngumu pia
Mambo ya signalNa kwenye Ujasusi, unaweza kuonesha tabasamu (kama signal) kuashiria jambo ni deal done
Kulingana na tukio na eneo husikaHii ni nzuri
Hii ndio fake smile 😃
Mambo ya signal