Tabasamu la Tulia

Tabasamu la Tulia

Ashajiuzulu
JamiiForums994128840.jpg
 
Mshana wewe Mkali sisi tupo hapa Getini wala hatuna habari
bora abaki na Ubunge wake na yeye si wa kwanza hata Lowassa aliutema sembuse Ally Hassan Mwinyi
Hahaha tangu jana usiku tulikuwa tumeshazipata nyepesi nzito
 
Kwa makasiriko haya.. Kwa magumu haya.. Tulitegemea kuona wale tulio pamoja walau tukipeana neno la faraja.. Lakini aah wapi tuko busy tukijipanga na kuomba sana ili litokee la kutokea lile linalotupa matamanio ya kila siku... Mimi ndio nafaa kukaa pale...!

Maonyo ni mengi lakini machache hubeba unabii
 
watu walibisha kishabiki au kimaslahi sasa yamekua
Mimi naona Zungu anafaa na huyu Mama wa Mbeya aendelee umakamu kwani Katibu wa Bunge pale ni Bidada
Bunge likiongozwa na Mwanamama na Muhimili mwingine Mwanamke tutachemsha
 
Hivi kumbe Zungu bado yuko hai? Huyu big no kaka ni fisadi kamaliza
 
Ndugai jengo la bunge atakuwa akilionea kwenye gari kama sisi.
MACHACHE KUHUSU JOB NDUGAI
1. Hakuwa Spika Mtenda Haki.
2. Aliua Ofisi ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.
3. Alifukuza Wabunge wa Upinzani Bungeni kadiri alivyotaka.
4. Alimuita Mbunge aliyejiuzulu Ubunge (Cecil Mwambe) aendelee kukaa bungeni.
5. Aliwaruhusu waendelee kukaa bungeni Wabunge wawili waliofukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya Chadema (Lijualikali na David Silinde)
6. Aligoma kuidhinisha fedha za matibabu ya Tundu Lissu
7. Alimfuta Ubunge Tundu Lissu
8. Aliruhusu Watu 19 wasio na vyama kuwapo Bungeni(akina Mdee)
 
Back
Top Bottom