Tabasamu la Tulia

Tabasamu la Tulia

Labda ya ku-re omba msamaha.mwana CCM kujiuzulu...next to impossible,labda amepata ukichaaa !!!!
Screenshot_20220104-220254.jpg
 
Jana nimepata maono;

Ndugai asijiuzulu hili swala limalizwe kwenye vikao vya chama.

Kwani kuna kila dalili ya kuchafuka kwa amani yetu jambo hili likiendelezwa.

Kila upande uretreat amani itawale.

Anayesikia neno hili toka kwa Bwana na asikie.
 
Mimi nipo nae jirani hapa sijaona dalili zozote, ni vigumu kuachia top layer halafu aende wapi jua ana kundi kubwa kuliko lile la Lowassa au la G55 licha la humu ndani JF,
nilichosikia ataomba tena msamaha hadharani kabla ya Kikao cha 29/ Jan
Hana kundi lolote acha kumpa moyo wewe.
 
Jana nimepata maono;

Ndugai asijiuzulu hili swala limalizwe kwenye vikao vya chama.

Kwani kuna kila dalili ya kuchafuka kwa amani yetu jambo hili likiendelezwa.

Kila upande uretreat amani itawale.

Anayesikia neno hili toka kwa Bwana na asikie.
Anayesikia neno hili toka kwa Bwana na asikie.
 
hata humu jamvini JF Ina maana huwaoni mashabiki wake wanakomaa asijiuzulu, wakati ss tunaona hajaomba msamaha Ila kejeli na kundi lake lina shangilia
Kaka hakuna jipya huko?
 
Jana nimepata maono;

Ndugai asijiuzulu hili swala limalizwe kwenye vikao vya chama.

Kwani kuna kila dalili ya kuchafuka kwa amani yetu jambo hili likiendelezwa.

Kila upande uretreat amani itawale.

Anayesikia neno hili toka kwa Bwana na asikie.
Labda ni neno kutoka kwa bwanako, na siyo bwana Mungu wa majeshi.

Acha kula makande usiku yanakupa njozi za kishetani.
 
Back
Top Bottom