Tabasamu la kukata na shoka

Huyu jamaa alisema kuwa 'hajui' idadi ya watoto wake aliyonao, yaani yeye ni baba wa watoto wasio na 'idadi' ...!!!!
Hiyo ni sifa ya watoto waliokulia mitaani wakiwaongoza wazazi wao kuomba. Si unajua lile eneo linalozalisha omba omba wengi nchini? Hao wengine tunaoangaishana nao sasa ni product za ombaomba wa mitaani. Ni kuwasamehe bure tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…