kapongoliso
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,356
- 493
Hiyo ni sifa ya watoto waliokulia mitaani wakiwaongoza wazazi wao kuomba. Si unajua lile eneo linalozalisha omba omba wengi nchini? Hao wengine tunaoangaishana nao sasa ni product za ombaomba wa mitaani. Ni kuwasamehe bure tu.Huyu jamaa alisema kuwa 'hajui' idadi ya watoto wake aliyonao, yaani yeye ni baba wa watoto wasio na 'idadi' ...!!!!