taasisi ya redet iliyo chini ya udsm

kingxvi

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
879
150
wakuu hii taasisi iliyo chini ya udsm ikiongozwa na dr benson bana mbona ipo kimya sana?
 
So what?ulitaka itoe takwimu za watu kama nyie mliokua mnapenda kusoma udsm ila kutokana na kuwa vilaza huko secondary mkapigwa chini au ulitaka ifanyaje?
 
So what?ulitaka itoe takwimu za watu kama nyie mliokua mnapenda kusoma udsm ila kutokana na kuwa vilaza huko secondary mkapigwa chini au ulitaka ifanyaje?
dogo mimi nasoma masterz sweden even my 1st degree sikusomea Tanzania hawa jamaa zama zilizopita ilikuwa kila baada ya miezi 4 wanakuja na takwimu za kubumba ila nashangaa nw kimya
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom