jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,780
Masikini THI..... niliiona toka mwanzo wakati inatapatapa kwa kuomba msaada.... hatimaye imefariki!!
Hii taasisi imejikongoja jamani, na cha kusikitisha hamna siku iliwahi kuonekana kama ina umuhimu wowote...
Kuna kitu hakipo sawa kwenye hili taifa... tutapigishana kelele sana tu, hilo ndio lililobakia... duuhh... nguvu zinaniisha mie...
Na hichi ndio kinachoendelea kwenye idara nzima ya afya..... hata kama hamna mgomo, kuna mgomo wa asilia tu "KUTELEKEZWA KWA SEKTA"