Taasisi 1,200 duniani zampa tuzo ya amani Edward Lowassa

Wasisahau kumpa na tuzo ya ufisadi pia. Maana amani ya Lowassa inatokana na huruma ya watawala hapa Bongo. Kwa kuwa kwa ufisadi wake alistahili kwa sasa awe ananyea debe.

Wakishampa Vasco hiyo ya ufisadi na Edo ataletewa maana wanaruka pamoja!!
 
Kati ya Lowasa na Seif Sharif nani alistahilia kupewa tuzo ya aina hiyo? Hizo taasisi zilizofikia uamuzi huo zina jambo nyuma ya pazia. Muda si mrefu ukweli utajulikana.
 
Back
Top Bottom