Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Niacheni nipo busy kutimiza wajibu niliopewa na Lady doctor
Hujaridhika na majibu mheshimika siku kuu ya wapendanao..!
Koddoa tu hadi yavimbe !Yangu macho mie
Kumbe ni kubwa naweza kuiona nikiwa nimesimama!!!.?
Bado. Tulia tu hapo hapo..
hahaha...... We M.E.M.A kwani ni lazima iwe kubwa ndo usimame? Naweza inama ukaiona ikiwa hivyohivyo ndogo
sa ntulie ili iweje? Si uitafute huko?
Hebu niambie kwanza..ni kubwa au ndogo. Maana giza nalo linaanza kuingia na sijabeba tochi. Kupapasa naogopa kushika vingi zaidi🙄
Aaaa we si umeiona hapo chini?
Ananifaa kabisaa. Yuko wapi huyo?
inamaana ni ndefu hadi inafika chini?
hii ligha ni ya matusi eti..