Anhaaa hapo sawa kwa hiyo mimi naliruhusiwa kukaa kwa Lady ma.....
Hapana naona bado anaing'ang'nia dunia wakati umri umemtupa na ufanisi umepungua,lakini ni mbishi huwa tunapigana vikumbo kusaka totozUsimsemee moyo. Vipi kakurithisha mikoba nini..haha..
Hahahaaa ndiyo hakubali kushindwaDuh...kwa hiyo inakuwa kama nyau na wanae wanawinda.
Mmmmmmh! mimi mbon sijakaguliwa na babu Asprinkwa taarifa yako sijui kama utampata mtu humu mjengoni kwani wote waliomo humu wameshakaguliwa na bazazi Asprin SASA sijui utafanyaje na walioanzia majina ya A ni nadra sana kupatikana kwenye uongozi humu mjengoni labda wale wanaofifia kwa muda sana hapa
Naona Vigezo haujatimiza anataka wenye herufi ANgoja nije
tuongee nini tenaaaa?Dah hebu sogea kidogo huku tuongee
ladyfurahia upo...?Mmmmmmh! mimi mbon sijakaguliwa na babu Asprin
Aaaah mbona unawasiwasi mrembo sogea huku kidogo hapo wanakuonatuongee nini tenaaaa?
mmmh! mwenzangu, mke wa mtu mie, wataka unipeleke uchochoroni kufanya nini?Aaaah mbona unawasiwasi mrembo sogea huku kidogo hapo wanakuona